Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikao kimeahirishwa hadi Saa kumi na mbili jioni
Hakya mama wallah..! tutauana nchi hii, huu upuuzi sasa.
Mkuu hapo kwenye neno "rasimu" badilisha weka neno "akidi"
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kikao kimeahirishwa hadi Saa kumi na mbili jioni
Jambo gani halijaiva ccm wanalolifanya?
Namwona mwenyyekiti (samahani kuanzia sasa sitamwita hivyo na badala yake ntamwita kificho) anakaribia kufungua kikao muda si mrefu
Mkuu, ni kwamba hakuna nakala za kutosha za kanuni. Zoezi la kudurufu linaendelea
Mmmh Mbunge anaporomosha matusi hadharani