Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Hanaga zarau kama yule aliyewambiwa watu wa kigamboni waogeleye!
 

Jamani mbona morogoro hajamaliza amma anaogopa kuzima ghafla maana uroboti hausomeki.
 
Wapiga Kula? Au Kura? Alipanda ndege au chopa?

Jipange ulete habari ya kueleweka

Mimi sehemu ninayotokea mabasi,maroli,matrekta n.k. yote huwa tunaita magari,helikopta, chopa ,fastjet,parachuti n.k. huwa zote tunaziita ndege
 
Nawataka wana Chato waende kwa wingi wakaujaze uwanja wa mkutano tena wa madhehebu yoote!Ili kumuonyesha kuwa Chato hakuna ukanda wala udhehebu! Kura kwa Magufuli kwani tunamuamini
"Hapa kazi tu"
 
Hanaga zarau kama yule aliyewambiwa watu wa kigamboni waogeleye!

Hivi siku hizi shule zinafundishaje Silabi? Maana naona hapa "hanaga, zarau, waogeleye" hivi hiki ni kiswahili kweli?
 
Kura nyingi tutazitoa chato.plz walioko chato tupieni tupicha
 

mkuu kazi ikianza tupia tupicha hilo ni tukia la ki historia magamba wanasubiri itakuwaje
 

Chato hapa Lowasa Lowasa daaaaah
 
hivi ww unafikiri Magufuli anaweza kujaza watu bila DIAMOND, ALLY KIBA, THE COMEDY, YAMOTO BAND, FUTUI NA KINA WEMA?????


MAGUFULI ni saiz ya LISSU, ZITTO , JJ MNYIKA.

LOWASSA ni habari nyingine.

Hata kampeni za kupunguza maambukizi ya HIV wanatumia wasanii kuwavuta pale ili wapate elimu ya Afya na mwisho wa siku watu wanapata elimu. Saizi kila mtu anajua UKIMWI ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…