Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefurahia hilo?Asubuhi kesho profesa Assad hatakiwi kuonekana ofisini Kama Ana Cha kukabidhi akabidhi Leo kwa msaidizi wake.Mwenyewe kesho akiingia ofisini aikute tupu
Sana tuUmefurahia hilo?
Huyu jamaa anakumbuka aliyosena siku anamtumbua TRA?
Wakati mwingine muwe mnamuogopa Mungu aliyewaumba, sio kila kitu ushabiki tu wa kisiasaAsubuhi kesho profesa Assad hatakiwi kuonekana ofisini Kama Ana Cha kukabidhi akabidhi Leo kwa msaidizi wake.Mwenyewe kesho akiingia ofisini aikute tupu
Sio Profesa Assad ripoti yake akikagua hutakiwa kukabidhi kwa Raisi ambaye huikabidhi bungeni.Mzee.akajua kuheshimu mhimili mitatu ni kutekeleza unayoambiwa au mm ndonimesoma vibaya?
Na ahitaji kuambiwa nini cha kufanya".......... mwenye Serikali yupo"
Assad alitaka kutengeneza mhimili wake mwingine,alitengeneza mhimili wa nne.Kwahiyo Assad naye alikuwa fisadi?
Alafu mbona dingi anaongea kibabe sana
Ni kwa vipi CAG hatakiwi kuwa mhimili wakati anakagua mihimili mingine, CAG anatakiwa awe ni full fledged mhimili, au vinginevyo bunge linatakiwa kumuidhinisha ili awe na powers
Ivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Magufuli the best president haitatokea tupate rais mzuri kama magufuli mungu amlinde
Hana huo uwezo maana karoka kuwa Katibu Tawala. Sasa hivi ripoti zitaandaliwa magogoni yeye atapewa akabidhi tu kwa aliyeiandaa.Anaongea utadhani nae atapita 2020
Namshauri CAG nae atumie rungu hilo kumshusha aanze na fedha zilizolipwa kutoka kwa wahujumu uchumi
Huo ni uchokozi sasaHivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Ukiona hivyo ujue ndo uzito ulipoJF bana yani hotuba yote ya rais wameona wa quote ka kipisi tu cha hotuba nzima
Rais Magufuli: Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema. Usiende huko ukajifanya Muhimili. Mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa Mahakama, Bunge na Sisi wa Serikali
Katika Kiapo chako ni Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, kwa hiyo mwenye Serikali yupo
nikisemaga JF imekaa kichochezi chochezi kuna watu watabisha....
Assad Atanyanganywa passport yake. Assad atavamiwa na document na electronic zote Atanyanganywa