Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Mzee.akajua kuheshimu mhimili mitatu ni kutekeleza unayoambiwa au mm ndonimesoma vibaya?
 
Mzee.akajua kuheshimu mhimili mitatu ni kutekeleza unayoambiwa au mm ndonimesoma vibaya?
Sio Profesa Assad ripoti yake akikagua hutakiwa kukabidhi kwa Raisi ambaye huikabidhi bungeni.

Profesa Assad alikuwa na tabia ambayo sio proffessional akishamaliza ukaguzi anaita press na kuanza kubwabwaja yaliyomo kwenye ripoti.

Akijifanya yeye Kama muhimili unaojitegemea badala ya kukabidhi kwanza kwenye mhimili serikali na akishakabidhi muhimili serikali ukabidhi bunge ndipo kujadili ripoti kuwe ruksa

Alikuwa akijiona ni.mhimili mpya
 
Ni kwa vipi CAG hatakiwi kuwa mhimili wakati anakagua mihimili mingine, CAG anatakiwa awe ni full fledged mhimili, au vinginevyo bunge linatakiwa kumuidhinisha ili awe na powers
 
Bunge lenyewe ndio hilo...
Ni kwa vipi CAG hatakiwi kuwa mhimili wakati anakagua mihimili mingine, CAG anatakiwa awe ni full fledged mhimili, au vinginevyo bunge linatakiwa kumuidhinisha ili awe na powers
 
Anaongea utadhani nae atapita 2020
Namshauri CAG nae atumie rungu hilo kumshusha aanze na fedha zilizolipwa kutoka kwa wahujumu uchumi
Hana huo uwezo maana karoka kuwa Katibu Tawala. Sasa hivi ripoti zitaandaliwa magogoni yeye atapewa akabidhi tu kwa aliyeiandaa.
 
Hivi Dodoma kashindwa kabisa kwenda uko? Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwa ni siasa au mkakati nilitegemea mambo kama aya yafanyike Dodoma maana juzi tu kasema kashaamia uko.
Huo ni uchokozi sasa
 
JF bana yani hotuba yote ya rais wameona wa quote ka kipisi tu cha hotuba nzima

Rais Magufuli: Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema. Usiende huko ukajifanya Muhimili. Mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa Mahakama, Bunge na Sisi wa Serikali

Katika Kiapo chako ni Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, kwa hiyo mwenye Serikali yupo

nikisemaga JF imekaa kichochezi chochezi kuna watu watabisha....
Ukiona hivyo ujue ndo uzito ulipo
 
Return Of Undertaker,
Umeliweka vizuri mkuu, tatizo sasa hivi tuna mtu anaitwa kiongozi he pretends to know each and everything. Tunavuna matunda ya kukataa kufanya vetting. Kikwete na Mkapa walituingiza chaka
 
Kwa maneno ya Muheshimiwa CAG wa sasa hawezi kufanya kazi kama inavyotakiwa- Lazima atakuwa biased ili tu asilumbane na mihimili mitatu
 
Back
Top Bottom