herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Umekosea. Inaandaliwa na Yohana mwenyewe kisha anapewa Charles amkabidhi Yohana.Ukaguzi ukiisha ripoti inahaririwa na malaika mkuu Yohana kabla haijachapishwa.
Anakuwa nazo mbili yake na ya magogoniHana huo uwezo maana karoka kuwa Katibu Tawala. Sasa hivi ripoti zitaandaliwa magogoni yeye atapewa akabidhi tu kwa aliyeiandaa.
That will be a gross mistake.
Polisi anajifanyia upelelezi na uchunguzi dhidi ya kesi
Hapo TRA namshauri awe MUHIMILI mwingine.
Ni vyema kama umetambua kuwa Mfumo wa Uongozi wa JPM ni Data za upishi upishi na ujanja ujanja. Nakuhakikishia ripoti inayofuata itaonyesha faida kubwa sana kwenye mashirika ya UMMA. Tutasahau kabisa kuwa ATCL itamaliza kupata hasara mwaka 2023Hayo maneno yenu kila mtu na mfumo wake wa uongozi
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
ha ha ha ha ha kunywa maji mkuu duku duku litelemkeMungu yupi? shenzi kabisa
๐คฃ๐คฃUmekosea. Inaandaliwa na Yohana mwenyewe kisha anapewa Charles amkabidhi Yohana.
That will be a gross mistake.
Kama Charles Kicheere ana akili nzuri, angeikataa kazi hii ya CAG. Naona atapata shida sana kwenye awamu zitakazokuja baada ya Magufuri. Amepewa nafasi kwenda kukiuka misingi ya u-CAGLeo baada ya kumuapisha CAG mpya ambaye kimsingi kateuliwa kinyume cha sheria za nchi kwa mujibu wa sheria ya subsection 3 iliyoko hapa nchini, ambayo ilitaka CAG aongezewe mkataba la sivyo utaratibu wa kutomuongezea mkataba sheria inasema shruti ufuate ibara ya 144 ya katiba inayohusu namna kumuondoa CAG (isome hapa chini) :
View attachment 1253729
Lakini katika muendelezo uleule wa kuvunja katiba rais amemuagiza CAG mpya kufuata maagizo ya mihimiliingime wakati wa utekelezaji. wa majukumu yake, Agizo hili ni. kinyume cha Katiba ibara ya 143(6) kinachozuia CAG kufuata maagizo ya mtu yeyote au ya idara yoyote. Katika hili huu ni msiba mkubwa sana kwa Taifa.
Ibara ya 143 kipengele cha 6 kinazuia kabisa CAG kupokea maagizo kwa mtu yeyote, lakini inashangaza leo Rais Magufuli anamwagiza CAG kutii maagizo atakayopewa. hii ni ajabu sana
View attachment 1253734
Ubabe ni mhimu Sana..bila ubabe utadharaulika ,Kwahiyo Assad naye alikuwa fisadi?
Alafu mbona dingi anaongea kibabe sana
Nafikiri uhuru wa CAG haujawa compromised, atakuwa na uhuru kama wa CAGs wengine waliopita. Nawaza tu kwa kuandika.Habari wana JF..
Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbalimbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"
Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. ๐๐๐
Very sorry for you and others for having such a President who is not serious when and where he should be serious. Unlike Nyerere, it seems he doesn't realize that place is holly thus should respected and awed by all and sundry without comedies. Threats create fear which always affects performance worse even when done in public.Thatโs my President ๐๐ฟ!
Tutamteka na kwenda kuchinjilia mbali huko tumwache afisini wakati tunajua ni mnokotu
Influenza,
Mambo yote Chapchap, bado Assad anajiuliza ni vipengele gani vimetumika? Basi agome kuachia ofisi basi.
Thatโs my President ๐๐ฟ!
Ufafanuzi wa kisheria kama anaweza au atatumia njia ya kum Tundu LissuHalafu anajitapa kabisa kuwa anaweza kumuweka hapo mwaka mmoja tu!! Na sio 60. Jamani tumepatikana wanandugu. Tanzania tumeula wa chuya [emoji134]โโ
hahahahahaha!Influenza,
Mambo yote Chapchap, bado Assad anajiuliza ni vipengele gani vimetumika? Basi agome kuachia ofisi basi.