Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Hayo maneno yenu kila mtu na mfumo wake wa uongozi
Ni vyema kama umetambua kuwa Mfumo wa Uongozi wa JPM ni Data za upishi upishi na ujanja ujanja. Nakuhakikishia ripoti inayofuata itaonyesha faida kubwa sana kwenye mashirika ya UMMA. Tutasahau kabisa kuwa ATCL itamaliza kupata hasara mwaka 2023
 
Leo baada ya kumuapisha CAG mpya ambaye kimsingi kateuliwa kinyume cha sheria za nchi kwa mujibu wa sheria ya subsection 3 iliyoko hapa nchini, ambayo ilitaka CAG aongezewe mkataba la sivyo utaratibu wa kutomuongezea mkataba sheria inasema shruti ufuate ibara ya 144 ya katiba inayohusu namna kumuondoa CAG (isome hapa chini) :
View attachment 1253729

Lakini katika muendelezo uleule wa kuvunja katiba rais amemuagiza CAG mpya kufuata maagizo ya mihimiliingime wakati wa utekelezaji. wa majukumu yake, Agizo hili ni. kinyume cha Katiba ibara ya 143(6) kinachozuia CAG kufuata maagizo ya mtu yeyote au ya idara yoyote. Katika hili huu ni msiba mkubwa sana kwa Taifa.
Ibara ya 143 kipengele cha 6 kinazuia kabisa CAG kupokea maagizo kwa mtu yeyote, lakini inashangaza leo Rais Magufuli anamwagiza CAG kutii maagizo atakayopewa. hii ni ajabu sana

View attachment 1253734
Kama Charles Kicheere ana akili nzuri, angeikataa kazi hii ya CAG. Naona atapata shida sana kwenye awamu zitakazokuja baada ya Magufuri. Amepewa nafasi kwenda kukiuka misingi ya u-CAG
 
Habari wana JF..

Mh. Rais Magufuli, leo wakati akitoa hotuba na ushauri kwa wateuliwa wapya wa ngazi mbalimbali, ametoa ushauri mzuri sana kwa CAG mpya Ndugu Kichere, "Usijifanye muhimili, mihimili iko mitatu tu na unaijua, wewe ni mtumishi wa umma, kasimamie haki na una sifa za kutosha, nakutakia kazi njema"

Message nzuri sana hii, watumishi wa umma wasijione exceptional au untouchable hata uwe katika nafasi ya juu kiasi gani.. Nimependa hii reminder kwa watumishi wa umma. Excellent message from my President JPM. 🙏👏👏
Nafikiri uhuru wa CAG haujawa compromised, atakuwa na uhuru kama wa CAGs wengine waliopita. Nawaza tu kwa kuandika.
 
That’s my President 👍🏿!
Very sorry for you and others for having such a President who is not serious when and where he should be serious. Unlike Nyerere, it seems he doesn't realize that place is holly thus should respected and awed by all and sundry without comedies. Threats create fear which always affects performance worse even when done in public.
 
Influenza,
Mambo yote Chapchap, bado Assad anajiuliza ni vipengele gani vimetumika? Basi agome kuachia ofisi basi.
hahahahahaha!
Kuna staff mwenzetu alikwenda kusoma, akamwachia mtu wa kukaimu kiti chake, alivyorudi si yule aliyekaimishwa akawa anakataa kuachia ofisi.

Yaani ni vituko, mwenye ofisi akiwahi ofisini, yule aliyekuwa amekaimishwa anachukua kiti na yeye anakaa hapo hapo pembeni yake!
hahahahahahahaahahahaahhhahahaha.

(nimewaza tu kwa sauti kituko hicho, japo ni cha siku nyingi kidogo)
 
Back
Top Bottom