DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
enyi wapumbavu kwanini kila anachofanya mwenyekiti lazima msifie hata kama anafanya upumbavuHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Sekondari za kata ni jangaHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Wanafiki kama ninyi mnafanya nchi hii iwe kama nyumba ya mtu,mnajipendekeza mpaka mnaudhi. Watu wanajadili mambo ya msingi unakuja na nyimbo zako za sifa na kuabudu...stupid!!Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Huo upendwa labda kijijini kwenuRais Magufuli: Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema. Usiende huko ukajifanya Muhimili. Mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa Mahakama, Bunge na Sisi wa Serikali - Katika Kiapo chako ni Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, kwa hiyo mwenye Serikali yupo
Rais Magufuli: Kafanye kazi zako za ukaguzi vizuri bila kuonea mtu. Unapopewa kazi na Mihimili mingine kama Bunge, katekeleze. Usibishane nao - Ukipewa maagizo na Mahakama katekeleze, wewe ni Mtumishi. Lakini pia kasimamie hiyo ofisi, kasimamie watendaji wako MIMI NINAVYO JUA, KATIBA YETU INAMPA MMLAKA CAG . KUWA HATAINGILIWA NA MUHIMILI WALA MTU YEYOTE ATAKAPOKUWA AKITIMIZA MAJUKUMU YAKE YA KAZI. Hii imekaaje ?.
hili ni tahira hili ya uvccmHongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Rais Magufuli: Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema. Usiende huko ukajifanya Muhimili. Mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa Mahakama, Bunge na Sisi wa Serikali - Katika Kiapo chako ni Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, kwa hiyo mwenye Serikali yupo
Rais Magufuli: Kafanye kazi zako za ukaguzi vizuri bila kuonea mtu. Unapopewa kazi na Mihimili mingine kama Bunge, katekeleze. Usibishane nao - Ukipewa maagizo na Mahakama katekeleze, wewe ni Mtumishi. Lakini pia kasimamie hiyo ofisi, kasimamie watendaji wako MIMI NINAVYO JUA, KATIBA YETU INAMPA MMLAKA CAG . KUWA HATAINGILIWA NA MUHIMILI WALA MTU YEYOTE ATAKAPOKUWA AKITIMIZA MAJUKUMU YAKE YA KAZI. Hii imekaaje ?.
Wanafiki kama ninyi mnafanya nchi hii iwe kama nyumba ya mtu,mnajipendekeza mpaka mnaudhi. Watu wanajadili mambo ya msingi unakuja na nyimbo zako za sifa na kuabudu...stupid!!
No imbeni nyimbo za kumsifia jizi magu kwa kukwapua 1.5trillion.Rudisheni tuzuku kwanza maana wapinzani mnajaza hati chafu harafu mnkuja kukimbilia humu
Mnataka tuimbe nyimbo za kumsifia mwizi mbowe
State agent
Lengo ndio hilo! na kaambiwa hapo hapo ukumbini kwamba ukielekezwa na mihimili tekeleza, usibishane nao! Mungu wa mbinguni na nchi alinusuru taifa letu
Hakuna aliye huru awamu hii,kila kiongozi analazimishwa kupiga 'kagoti flani'...najiuliza wanavyompamba na kumwogopa hivi ikiibuka ile 666 kunamtu atapinga kweli!??
Ogopa mtu anakwambia kuna 'mwenye' serikali sio kuna 'wenye'... inamana serikali ni yake sio ya wananchi...basi nchi ni yake pia maana anaamua apendavyo!!! Aibu ajabu,bora tungekuwa hatujawahi onja demokrasia.
Mtu akiwa na mawazo tofauti naninyi lazima awe chadema?? Hizi fikra duni zinafanya mtetee utumbo!! Akija mwingine akampinga huyu mtampigia vigelegele kama wamama wa uswahilini...akili zenu ni zakushikiwa mradi matumbo yenu yajae. Mnafaa kutukanwa ila hamna tusi lakuwatosha...Rudisheni tuzuku kwanza maana wapinzani mnajaza hati chafu harafu mnkuja kukimbilia humu
Mnataka tuimbe nyimbo za kumsifia mwizi mbowe
State agent
Bahati moja nzuri sana huyu jamaa huwa hana kifua cha kuweka mambo .
Leo ndio kautangazia umma kwamba ni yeye ndiye aliyemtuma Ndugai kuparangana na CAG....
Yana mwisho haya wacha aendelee kuamini kwamba kwa sababu yeye ni Rais basi ashaionja Paradiso wengine sisi ni mbwa tu
Asisahau yale ya Ruangwa tu kidogo yalimkumbusha yeye anaenda chooni kama wengine tu
Yaani wewe huna tofauti na zombie au kwa kiswahili msukule.Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
watu kama hawa huwa wapo tayari hata kupumuliwa kisogo ili mradi waishi mjini unakokwenda siko kijana shauri yako utakuwa kama bataLengo ndio hilo!
Na kaambiwa hapo hapo ukumbini kwamba ukielekezwa na mihimili tekeleza, usibishane nao! Mungu wa mbinguni na nchi alinusuru taifa letu
Bora hata lingekuwa taahira tungemsamehe lakini ni bwabwa hilo! Linaharibu sana mood ya threads.hili ni tahira hili ya uvccm