Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Bahati moja nzuri sana huyu jamaa huwa hana kifua cha kuweka mambo .
Leo ndio kautangazia umma kwamba ni yeye ndiye aliyemtuma Ndugai kuparangana na CAG....

Yana mwisho haya wacha aendelee kuamini kwamba kwa sababu yeye ni Rais basi ashaionja Paradiso wengine sisi ni mbwa tu

Asisahau yale ya Ruangwa tu kidogo yalimkumbusha yeye anaenda chooni kama wengine tu
 
Rais Magufuli: Kwa CAG mpya nakutakia kazi njema. Usiende huko ukajifanya Muhimili. Mihimili ni mitatu tu na umeiona hapa Mahakama, Bunge na Sisi wa Serikali - Katika Kiapo chako ni Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali, kwa hiyo mwenye Serikali yupo

Rais Magufuli: Kafanye kazi zako za ukaguzi vizuri bila kuonea mtu. Unapopewa kazi na Mihimili mingine kama Bunge, katekeleze. Usibishane nao - Ukipewa maagizo na Mahakama katekeleze, wewe ni Mtumishi. Lakini pia kasimamie hiyo ofisi, kasimamie watendaji wako MIMI NINAVYO JUA, KATIBA YETU INAMPA MMLAKA CAG . KUWA HATAINGILIWA NA MUHIMILI WALA MTU YEYOTE ATAKAPOKUWA AKITIMIZA MAJUKUMU YAKE YA KAZI. Hii imekaaje ?.
Huo upendwa labda kijijini kwenu
 
Mwenzetu una bahati kwani ' Mapilato wa Jamvi ' hawajauunganisha huu Uzi wako na ule Uzi Mkuu unaozungumzia Uteuzi huu wa CAG mpya. Nilianzisha Uzi unaotaka Kufanana na huu wako ila nilichukua angle nyingine ili kutaka kupanua Mjadala na kukaribisha Mawazo mapya ila nashangaa sasa hivi nakuta umeunganishwa na Uzi Mkuu.
 
Rudisheni tuzuku kwanza maana wapinzani mnajaza hati chafu harafu mnkuja kukimbilia humu

Mnataka tuimbe nyimbo za kumsifia mwizi mbowe

State agent
Wanafiki kama ninyi mnafanya nchi hii iwe kama nyumba ya mtu,mnajipendekeza mpaka mnaudhi. Watu wanajadili mambo ya msingi unakuja na nyimbo zako za sifa na kuabudu...stupid!!
 
Mtalalamika sana mlitegemea mchague shetani aje awe malaika
Lengo ndio hilo! na kaambiwa hapo hapo ukumbini kwamba ukielekezwa na mihimili tekeleza, usibishane nao! Mungu wa mbinguni na nchi alinusuru taifa letu
 
Himaya ya shetani ikitwaliwa na shetani mkuu inakuwa mali yake
Hakuna aliye huru awamu hii,kila kiongozi analazimishwa kupiga 'kagoti flani'...najiuliza wanavyompamba na kumwogopa hivi ikiibuka ile 666 kunamtu atapinga kweli!??
Ogopa mtu anakwambia kuna 'mwenye' serikali sio kuna 'wenye'... inamana serikali ni yake sio ya wananchi...basi nchi ni yake pia maana anaamua apendavyo!!! Aibu ajabu,bora tungekuwa hatujawahi onja demokrasia.
 
Rudisheni tuzuku kwanza maana wapinzani mnajaza hati chafu harafu mnkuja kukimbilia humu

Mnataka tuimbe nyimbo za kumsifia mwizi mbowe

State agent
Mtu akiwa na mawazo tofauti naninyi lazima awe chadema?? Hizi fikra duni zinafanya mtetee utumbo!! Akija mwingine akampinga huyu mtampigia vigelegele kama wamama wa uswahilini...akili zenu ni zakushikiwa mradi matumbo yenu yajae. Mnafaa kutukanwa ila hamna tusi lakuwatosha...
 
Jamani eee msitegeemee mchague shetani aje kuwa malaika ee
Bahati moja nzuri sana huyu jamaa huwa hana kifua cha kuweka mambo .
Leo ndio kautangazia umma kwamba ni yeye ndiye aliyemtuma Ndugai kuparangana na CAG....

Yana mwisho haya wacha aendelee kuamini kwamba kwa sababu yeye ni Rais basi ashaionja Paradiso wengine sisi ni mbwa tu

Asisahau yale ya Ruangwa tu kidogo yalimkumbusha yeye anaenda chooni kama wengine tu
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi

Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Yaani wewe huna tofauti na zombie au kwa kiswahili msukule.
Hata kama wanakulipa, basi huna tofauti na mwanaume alipwaye kwa kukamata ukuta.
Jadili kilichopo sio kusifia sifia mume wa Jane! hata pasipo sababu
 
Lengo ndio hilo!

Na kaambiwa hapo hapo ukumbini kwamba ukielekezwa na mihimili tekeleza, usibishane nao! Mungu wa mbinguni na nchi alinusuru taifa letu
watu kama hawa huwa wapo tayari hata kupumuliwa kisogo ili mradi waishi mjini unakokwenda siko kijana shauri yako utakuwa kama bata
 
Back
Top Bottom