Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Time does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
 

Umwambie Lowassa asigombee 2020 eti kushinikiza Tume huru? Chadema watagawana Mbao[emoji3][emoji3]
 
Uchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani

Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa
 
Hii inakatisha tamaa kupiga kura ccm kwa njia ya kura hawatoki madarakani ng'o
 
Reactions: cai
Propaganda za chama dola toa matokeo
 
Reactions: BAK
Makamanda au leo siyo siku ya uchaguzi? Mbona hatupati matokeo? nini kimewasibu makamanda?
 
Ujinga tu, uchaguzi kama vita sasa inamana gani si wangetangaza tu ccm mmeshinda toka asubuhi.
 
bora wasiwepo wanatupotezea muda tu, leo ingekuwa kupiga kivuli na jembe na nyundo
Aisee utapeli wa kura ya ndio! CCM imewapata watanzania kweli! ChaGua angalau vitu viwili.Eti kura ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…