Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

Time does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
 
Mimi sijashiriki ila nilitoa angalizo kwa wapinzani kuliko kupoteza raslimali muda na fedha kushiriki uchaguzi wa tume isiyokubalika ni kupoteza muda. Pia niliwataka ili kuweka mazingira ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hiyo 2020 ni kuanza kususia hizi chaguzi ndogo kwani matokeo yake yatatangazwa kuendana na hofu ya watawala. Hayo matokeo wala hayanishangazi bali ninawashangaa wapinzani wamepata wapi muda na fedha za kupoteza?

Umwambie Lowassa asigombee 2020 eti kushinikiza Tume huru? Chadema watagawana Mbao[emoji3][emoji3]
 
Uchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani

Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa
 
Hii inakatisha tamaa kupiga kura ccm kwa njia ya kura hawatoki madarakani ng'o
 
  • Thanks
Reactions: cai
Uchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani

Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa
Propaganda za chama dola toa matokeo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Makamanda au leo siyo siku ya uchaguzi? Mbona hatupati matokeo? nini kimewasibu makamanda?
 
Ujinga tu, uchaguzi kama vita sasa inamana gani si wangetangaza tu ccm mmeshinda toka asubuhi.
 
Back
Top Bottom