Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Kweli au unaongea tu!!Kijichi Tayari Chadema ishashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli au unaongea tu!!Kijichi Tayari Chadema ishashinda
Hebu lete matokeoLembeni, Mateves,kijichi,kiwanja cha ndege,kahama na Geita CHADEMA wameshashinda hata kabla ya uchaguzi, watangazwe tu washndi hakuna namna!
Acha kutoa povu mkuu na English yako ya primaryTime does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
Mimi sijashiriki ila nilitoa angalizo kwa wapinzani kuliko kupoteza raslimali muda na fedha kushiriki uchaguzi wa tume isiyokubalika ni kupoteza muda. Pia niliwataka ili kuweka mazingira ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hiyo 2020 ni kuanza kususia hizi chaguzi ndogo kwani matokeo yake yatatangazwa kuendana na hofu ya watawala. Hayo matokeo wala hayanishangazi bali ninawashangaa wapinzani wamepata wapi muda na fedha za kupoteza?
Time does make its reverses Hunter becomes the hunted. Dhulma za ccm last kick of a dying horse. HAKI.
Google translate , naona lugha inakupa shida. HAKI!Acha kutoa povu mkuu na English yako ya primary
bora wasiwepo wanatupotezea muda tu, leo ingekuwa kupiga kivuli na jembe na nyundoHawa UKAWA ni wa kupuuzwa.
Maana hawana jipya mwaka huu.
Propaganda za chama dola toa matokeoUchaguzi mdogo waubunge na mafiwani umefanyika hadi saa 12:45 tayari matokeo yalikua yanaanza kutangazwa
Ni maumivu kadri nilivyokua na pokea, matokeo inaeleke ccm wanaeza kushinda viti vyote cha ubunge na vile vya madiwani
Tujiginze. Usijione ww ni bora kuliko wachini yako 1 ni nyingi kuliko 1000 ndico kilichotokea leo kwenye uchaguzi huu
Naona vijna wa ccm wakitamba na matokeo yao
Ila vijana wa upinzani tumeroa
Kwa utawala huu sahau haki ya uchaguzi kufanyikaPropaganda za chama dola toa matokeo
Umeandika kwa kutumia kifaa gan?Hongera CCM kwa ushindi wa kishindo..
Aisee utapeli wa kura ya ndio! CCM imewapata watanzania kweli! ChaGua angalau vitu viwili.Eti kura ndiobora wasiwepo wanatupotezea muda tu, leo ingekuwa kupiga kivuli na jembe na nyundo