Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi hiyohadi sasa chadema wameshinda kata 17 kati ya 20.
Ni kama vile unaangalia mechi ambayo unadhani ni live kumbe ni recorded na Tume na Timu mojawapo walishaiangalia live yake hapo kabla kisha wanawachora tu mavyodhani ni liveMbona Tume wanayo matokeo tokea juzi kabla hata kura hazijapigwa? Kilichofanyika leo ni kuhalalisha matumizi ya fedha za uchaguzi kuwa uchaguzi ulikuwepo
Ulitaka kuandika kitu gani?UKAWA hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakayewapa kura.
Muda wa kutafuta shughuli nyingine umewadia maana madili yamezuiwa. Mambo ya kuitwa Ikulu na madili hamna tena.
Lazima mfe njaa.
Ruta refa weye, mchezaji weye, kamisaa weye na hata uwanja wa mpambano unajichagulia huku mpinzani wako amefungwa miguu na mikono halafu unadai free & fair AJABU !!!hadi sasa chadema wameshinda kata 17 kati ya 20.
Kwanini wapigwe??Chadema wakipigwa huwezi kuyaona matokeo
*MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?*
: *ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..*
*Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812*
*Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11*.
*Kahama Tumeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema*
*K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218*
*Mkoa wa Mwanza kata zote 2 tumeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)*
*Kata ya Kwani muleba kati ya vituo 26. Ccm inaongoza vituo 20 kwa kura 526...Bado matokeo ya vituo 6*
*Ujumbe*
*ENDELEENI NA SERA ZA NJAA,SUKARI, MATETEMEKO, UKUTA UTAFIKIRI WANANCHI WANATAKA HAYO, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO*
*SALAMBA II*
Kwa hiyo maendeleo mnawapa lini na mmetawala kwa miaka mingapi??*MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?*