Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

hadi sasa chadema wameshinda kata 17 kati ya 20.
 
Mbona Tume wanayo matokeo tokea juzi kabla hata kura hazijapigwa? Kilichofanyika leo ni kuhalalisha matumizi ya fedha za uchaguzi kuwa uchaguzi ulikuwepo
Ni kama vile unaangalia mechi ambayo unadhani ni live kumbe ni recorded na Tume na Timu mojawapo walishaiangalia live yake hapo kabla kisha wanawachora tu mavyodhani ni live
 
Watatumia nguvu kubwa ya dola nawakidhani watatawala na kuishi milele lakini daima hawatoshinda siku zote namwishowe ni aibu na kuanguka vibaya
 
UKAWA hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakayewapa kura.

Muda wa kutafuta shughuli nyingine umewadia maana madili yamezuiwa. Mambo ya kuitwa Ikulu na madili hamna tena.

Lazima mfe njaa.
Ulitaka kuandika kitu gani?
 
*MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?*

: *ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..*

*Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812*

*Matokeo Ya jumla ngarenanyuki. Ccm 1615 chadema 764 cuf 11*.

*Kahama Tumeshinda kwa kura 539ccm na342 chadema*

*K/ndege Morogoro CCM 1384 cdm 1189 cuf 218*

*Mkoa wa Mwanza kata zote 2 tumeshinda kwa kishindo! Malya (Kwimba), na Kahumulo (Sengerema)*

*Kata ya Kwani muleba kati ya vituo 26. Ccm inaongoza vituo 20 kwa kura 526...Bado matokeo ya vituo 6*

*Ujumbe*
*ENDELEENI NA SERA ZA NJAA,SUKARI, MATETEMEKO, UKUTA UTAFIKIRI WANANCHI WANATAKA HAYO, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO*

*SALAMBA II*
 
Kama wana akili watajiangalia upya wanapokosea ni wapi.
 
Kwa hiyo maendeleo mnawapa lini na mmetawala kwa miaka mingapi??
 
Naona Chadema wamekula kichapo cha haja huku Kijichi.

Nchi imesimama. Naona kijani inapunga hewani tu huku mtaani.
 
Back
Top Bottom