Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mkuu endelea kutupa updatesNa kwasababu alishatoa tamko jaji kwamba shahidi haitaji ruhusa kuingia na diary kizimbani basi itatafsirika kua hizo content hazina madhara kwenye hii kesi
Ikumbukwe kwamba jaji anakubali kua shahidi kafanya violation ila violation hiyo kaona haina madhara kisheria
Hapo kuna utata na jaji anatuchanganya tu.Na kwasababu alishatoa tamko jaji kwamba shahidi haitaji ruhusa kuingia na diary kizimbani basi itatafsirika kua hizo content hazina madhara kwenye hii kesi
Ikumbukwe kwamba jaji anakubali kua shahidi kafanya violation ila violation hiyo kaona haina madhara kisheria
Jaji kaisha kataa pingamizi la kina kibatala japo amekiri kua shahidi kafanya violationMkuu endelea kutupa updates
Kwanza watakua na hakika gani kwamba ile diary aliyokutwa nayo siku tano nyuma ndio hiyo ambayo imeletwa leo mahakamani?Hapo kuna utata na jaji anatuchanganya tu.
Sasa aingie na diary kizimbani bila kuitumia? Yani kama urembo?
Kama wakiikaguwa na kukuta ameitumia akiwa kizimbani, basi ina maana hakuomba ruhusa kuitumia. Lakini nina wasiwasi sana na huyu jaji. Yeye aliichukuwa hiyo diary na kubaki nayo kwa siku tano huku akipiga kesi danadana tu. Kuna uwezekano wanaichakachua diary ili kuwa favor upande wa mashitaka.
Mawakili wa utetezi wamekubali kuikagua hiyo diary ama wamegomaJaji kaisha kataa pingamizi la kina kibatala japo amekiri kua shahidi kafanya violation
Na sasa anataka pande mbili za mawakili wajiridhishe kwa kuangalia ile diary, lakini hii haitakua na msaada wowote kwa upande wa utetezi kwasababu jaji ametafsiri sheria kua shahidi anaweza kuingia na diary kizimbani bila ruhusa ila atapohitaji kufanya marejeo ndio atahitaji ruhusa ya mahakama
Kwanza watakua na hakika gani kwamba ile diary aliyokutwa nayo siku tano nyuma ndio hiyo ambayo imeletwa leo mahakamani?
Kumbuka mahakama hii shahidi alikutwa na nyaraka ambayo kimsingi inatunzwa na mahakama, kibali ambacho endapo kitahitajika basi itabidi kibali maalumu lazima kitolewe huku pande zote mbili za watuhumiwa na utetezi zikishuhudia.
Lakini shahidi alikutwa na hiyo nyaraka ambayo haikupitia sheria kuja mikononi mwake, hapo inatupa tafsiri kua hata hiyo diary kuna mengi maovu ambayo yamefanyika ili kuficha ukweli. Hatuna imani kabisa na huyu jaji
Dhuluma haijawahi kushinda haki.Nae huyu kichwa maji kweli alishindwa kumeza nyumbani, Kuna haha askari kubadili mtazamo wa kuajiri, waliopata 4 uwezo wao ni mdogo Sana wakumeza, mpaka wanaingia na nondo
Wakifanya hivyo tutafanya Maandamano ya Amani ya kupinga Ufashisti.Hakika Mungu ana makusudi kwa kila jambo.
Kuripoti kinachoendelea mahakamani sasa kunaweza hata kuzuiliwa.
Wacha tusubiri.
Huo ndiyo ukweliDhuluma haijawahi kushinda haki.
Ana deserve hilo jina la prof J kuliko yule profesa wetu aliyeokotwa Jalalani.Shukurani kwa Proffesa J kwa kumuona huyo shahidi maandazi na kuwatonya mawakili wa utetezi