Kwanza watakua na hakika gani kwamba ile diary aliyokutwa nayo siku tano nyuma ndio hiyo ambayo imeletwa leo mahakamani?
Kumbuka mahakama hii shahidi alikutwa na nyaraka ambayo kimsingi inatunzwa na mahakama, kibali ambacho endapo kitahitajika basi itabidi kibali maalumu lazima kitolewe huku pande zote mbili za watuhumiwa na utetezi zikishuhudia.
Lakini shahidi alikutwa na hiyo nyaraka ambayo haikupitia sheria kuja mikononi mwake, hapo inatupa tafsiri kua hata hiyo diary kuna mengi maovu ambayo yamefanyika ili kuficha ukweli. Hatuna imani kabisa na huyu jaji