Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

Acha wenye akili timamu wajadili hoja. Watu kama wewe hamstahili kuwepo hapa jukwaani. Kwa sababu hakuna gate la kuzuia wasio na uelewa kujisajili kwenye jukwaa isiwe sababu ya ninyi kufikiria kuwa JF ipo pia kwaajili ya low minds.
 
Akili yako haina akili. Anayeisumbua mahakama NI MBOWE au nyie wachumia tumbo?
 
"MBOE" ni bibi yako? mpumbavu wewe, elimika na heshimu mtu, huyu kiongozi mkuu wa upinzani Tanganyika na mwanasiasa asiyenunulika.
Sasa kama unampenda sana si ukajilipue pale mahakamani?
 
Kitendo cha jaji kusepa na diary.....
gem ilikuwa over......
Ilitakiwa ikaguliwe siku ile ile on the spot
 
Akili yako haina akili. Anayeisumbua mahakama NI MBOWE au nyie wachumia tumbo?
mwanzoni simlikuwa mnasema hakuna ushahidi? eti mboe aachiwe huru!!
sasa mbona haja kubwa inawabana?!
mawakili wana haha huku na kule!!
aise!
kumbe ushahidi ulikuwepo.....basi tuache Umma usikilize kesi ikinguruma kama ilivyo kuwa ya Sabaya.
tusiiibabaishe Mahakama kama kweli mboe hakuwa muhalifu mahakama itaamua lkn sio kwa kufanya vurugu na kuleta ukaidi mbele ya mahakama.
mawakili na wafuasi wa mboe lazima wajifunze ustaarabu.
 
Wewe jamaa unanishangaza sana, wazazi wako wametumia gharama ili angalau uwe mtu na utu ,lakini hapa kila leo unawaibisha waliokusomesha!!Sio fair kabsaa!!
 
Sasa kama unampenda sana si ukajilipue pale mahakamani?
MATAGA medula zenu zipo sehemu za kukalia, nakusamehe bure.
Endeleeni na ushahidi wa uongo.

Mit 6:19 SUV​

Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
 
wamegwaya baada ya kuona kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa mboe alikuwa anaratibu mipango ya kigaidi.
. Wala usimshuhudie jirani yako uongo.

Amri ya 9 ya MUNGU.
MATAGA mmetengeneza shaidi, mmemuandalia maswali na majibu na kumpa dayari aingie nayo mahakamani maana yeye ni TABULA RASA, sasa amekamatwa nayo, jaji kakwepesha wpi, imebidi isomwe, aibu tupu, .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…