Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

Washtakiwa wataendelea kuwa chini ya Magereza mpaka tarehe 22/112021 Inaonyesha baada ya hapo wapo huru ?
kilamsiku akiahirisha anasema hivyo je ni lini walikuwahuru? hao wanasubiri kunyongwa tu magaidi
 
Pia
The doctrine of functus officio
(that is, having performed his office)

holds that once an arbitrator renders a decision regarding the issues submitted, he lacks any power to reexamine that decision.
Hoja hapa ni kuangalia hiyo nafasi ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa. Turudi shuLeni kwenye hisabati- unatakiwa uonyeshe njia na jibu- ukitoa kimoja huwezi pata 100 kwa 100.
 
yaani kufikiria kama taifa zima wako attention na huo ujinga wa mbowe hakuna amani wala vurugu itakayotokea tz yaani ni wapuuzi wachache tu ndiyo wanafikira kama zako hakuana athari yoyote kwa taifa na mbowe ananyongwa gaid mkubwa huyo
 
Bora yeye mwizi kuliko wewe mbakaji
econonist- wewe humjui Mbowe na kwa sababu humjui nakusamehe.
Mbowe thought he could get away with it- this time amekwamana ili maneno ya waswahili yatimie- NDEGE MJANJA HUNASWA NA TUNDU BOVU
 
Msisahau ndugu zangu"Ugaidi" huu wa mbowe ambao ungegharimu tshs 600,000 na bastola moja yenye risasi 3 haukuwa detected na balzi za uk wala us hawakutoa hata warning...Mbowe na makomandoo ni hatari sana
 
Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!

Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Artechturers wa suala hili ni mwendake na mwingine bahati nzuri kesha kula 30yrs na anabiri kesi ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi
 
Pole mkuu. Kumbuka "sheria ni msumeno". Haipo kwa ajili ya matakwa yako au mtu wa maono kama yako. "law is a social science".
 
Ningekua Rais..ningefuta Kesi na kupiga chini Wakubwa wa Polisi haraka sana. Bila kusahau wazir wa Sheria piga chin wote!!Mana wameniangusha na kuiabisha serikali yangu na Mahakama zangu. PIGA CHINI KABSAA
 
MSISAHAU NDUGU ZANGU"UGAIDI" HUU WA MBOWE AMBAO UNGEGHARIMU TSHS 600,000 NA BASTOLA MOJA YENYE RISASI 3 HAUKUWA DETECTED NA BALZI ZA UK WALA US HAWAKUTOA HATA WARNING...MBOWE NA MAKOMANDOO NI HATARI SANA
Intelijensia yenye weledi wa kijani ndani yake.
 
Pia
The doctrine of functus officio
(that is, having performed his office)

holds that once an arbitrator renders a decision regarding the issues submitted, he lacks any power to reexamine that decision.
Sasa tuwekea kwa kiswahili pia ili tujadili kama jaji wetu kweli unataka kurevist his ruling kuhusi ile exhibit detetion register.
 
yaani kufikiria kama taifa zima wako attention na huo ujinga wa mbowe hakuna amani wala vurugu itakayotokea tz yaani ni wapuuzi wachache tu ndiyo wanafikira kama zako hakuana athari yoyote kwa taifa na mbowe ananyongwa gaid mkubwa huyo
Ni mpumbavu na mjinga tu ndo anae weza kupuuzia hi kesi ya Bowe, hi kesi ni pivot point kwa doctorine of separation of power na doctorine ya rule of law, pamoja na system ya multy-party democracy, mtu kama wewe huwezi kulitambua hata ukipewa mwaka 10 kufikolia, unaona Bowe in narrow personal perceptive sio kama kiongozi wa chadema.
 
Yaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!

Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Ni huyu hapa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…