Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hilo gaidi la nini piga ndani tuUnaweza kutuonesha hiyo sheria inayosema hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo gaidi la nini piga ndani tuUnaweza kutuonesha hiyo sheria inayosema hivyo?
Hii kesi inaiumbua serikali. Hongera mawakili wa utetezi.Tusubiri vioja vingine kutoka mahakamani.
Kibatala salitiTulia we mzee wa Rau Madukani, naona hata mwenendo wa kesi hii hauujui.
Bora yeye mwizi kuliko wewe mbakajiIna impact gani? Mbona unakuza mambo? Who is Mbowe- mwizi mmoja
kilamsiku akiahirisha anasema hivyo je ni lini walikuwahuru? hao wanasubiri kunyongwa tu magaidiWashtakiwa wataendelea kuwa chini ya Magereza mpaka tarehe 22/112021 Inaonyesha baada ya hapo wapo huru ?
Hoja hapa ni kuangalia hiyo nafasi ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa. Turudi shuLeni kwenye hisabati- unatakiwa uonyeshe njia na jibu- ukitoa kimoja huwezi pata 100 kwa 100.Pia
The doctrine of functus officio
(that is, having performed his office)
holds that once an arbitrator renders a decision regarding the issues submitted, he lacks any power to reexamine that decision.
yaani kufikiria kama taifa zima wako attention na huo ujinga wa mbowe hakuna amani wala vurugu itakayotokea tz yaani ni wapuuzi wachache tu ndiyo wanafikira kama zako hakuana athari yoyote kwa taifa na mbowe ananyongwa gaid mkubwa huyoWewe utakua uko kazini ili kuvuruga public opinion au naturally a fool
Hujui impact ya hi kesi kwa taifa hili, inaweza kusabaratisha serikali kabisa, au kufanya chama tawala kutawanyika au Amani ya nchi kupotea kabisa the earlier the better kwa vyovyote hi kesi imelizike haraka iwezekanavyo.
econonist- wewe humjui Mbowe na kwa sababu humjui nakusamehe.Bora yeye mwizi kuliko wewe mbakaji
Artechturers wa suala hili ni mwendake na mwingine bahati nzuri kesha kula 30yrs na anabiri kesi ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumiYaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!
Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Pole mkuu. Kumbuka "sheria ni msumeno". Haipo kwa ajili ya matakwa yako au mtu wa maono kama yako. "law is a social science".Mbowe na genge lake wanapaswa wawe na nidhamu ya kuheshimu Mahakama.
Kama wataendelea kuleta mchezo wa kitoto wa kuichafua mahakama kwa kuleta Sarakasi zisizo na kichwa wala miguu watajiweka pabaya sana.
Jaji wa kwanza walimchafua na kumkataa.
Jaji wa pili alijitoa kwa sababu ya majukumu lkn walimchafua na kumkejeli.
Sasa Jaji huyu watatu naye wameanza kumchafua na kumkejeli.
Wanacho kifanya mawakili na wafuasi w mboe ni kutaka kuivuruga mahakama au kuishinikiza ifanye maamuzi kama wanavyo taka wao na sio vinginevyo.
Mahakama haipaswi kuingia ktk mtego huo wanao ufanya hao watuhumiwa na wafuasi wao.
Cremia, Iboya, comte, nyie nyote ni sehemu ya timu bambikizi, pengine miongoni mwa wapiga chabo 24.Hilo gaidi la nini piga ndani tu
Sisi VS Timu Giadi hahahahahhhhCremia, Iboya, comte, nyie nyote ni sehemu ya timu bambikizi, pengine miongoni mwa wapiga chabo 24.
Intelijensia yenye weledi wa kijani ndani yake.MSISAHAU NDUGU ZANGU"UGAIDI" HUU WA MBOWE AMBAO UNGEGHARIMU TSHS 600,000 NA BASTOLA MOJA YENYE RISASI 3 HAUKUWA DETECTED NA BALZI ZA UK WALA US HAWAKUTOA HATA WARNING...MBOWE NA MAKOMANDOO NI HATARI SANA
Sasa tuwekea kwa kiswahili pia ili tujadili kama jaji wetu kweli unataka kurevist his ruling kuhusi ile exhibit detetion register.Pia
The doctrine of functus officio
(that is, having performed his office)
holds that once an arbitrator renders a decision regarding the issues submitted, he lacks any power to reexamine that decision.
Ni mpumbavu na mjinga tu ndo anae weza kupuuzia hi kesi ya Bowe, hi kesi ni pivot point kwa doctorine of separation of power na doctorine ya rule of law, pamoja na system ya multy-party democracy, mtu kama wewe huwezi kulitambua hata ukipewa mwaka 10 kufikolia, unaona Bowe in narrow personal perceptive sio kama kiongozi wa chadema.yaani kufikiria kama taifa zima wako attention na huo ujinga wa mbowe hakuna amani wala vurugu itakayotokea tz yaani ni wapuuzi wachache tu ndiyo wanafikira kama zako hakuana athari yoyote kwa taifa na mbowe ananyongwa gaid mkubwa huyo
Ni huyu hapaYaani haviishi! Matokeo yake, jamaa wanasota ndani bila sababu ya msingi. Wangekuwa WAMEDHAMINIKA, ingekuwa nafuu!
Sijui aliyebuni issue hii anajisikiaje, anapoona wenzie wanateseka kwa UBUNIFU wake!
Ubunifu wa King'aa unawawashia moto wapiga chabo.Ni huyu hapa
![]()