Pole kwa maumivu makali unayopitia, huu utopolo mliusema hata kipindi kile anaenda Geita lakini akapata mapokezi ya kihistoria huko Chato.Dodoma jiji ambalo halina muda a Lisu anaenda kuadhirika Leo
Dar na Dodoma ni miji nuksi kwake anapoteza muda tu
Lisu ni habari nyingine.