Kazi inaendelea, Haturudi nyuma..Mgombea wa Urais Chadema Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi ya asilimia 60%.
Pamoja Sana mkuu.Chombo chetu Cha habari Kiko na msafara Kama utakuwa jirani tunaweza kuonana.Mkuu Molemo pamoja sana kamanda. yale Mafuriko ya jana pale Karatu imewafanya watu upande wa pili wakate tamaa....Asubuhi hii saa tatu Mh. Rais anayesubiri kuapishwa atazungumza na wana-Karatu mambo makuu mawili
1. Ilani ya uchaguzi ya CDM [Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu]
2. Elimu kwa mpiga kura na namna ya kujihami na uharamia wowote. Mwaka huu kitaeleweka
AMIN.....MUNGU awalinde Hadi siku mtakayoingia ikulu
Haipogo mkuu - ndoto za kimweriMUNGU awalinde Hadi siku mtakayoingia ikulu
Wewe endelea kuamini hivyo,kwa sababu imani ni nusu ya kuona.Timizeni ratiba na utalii, wengine tunaamini rais ni Magufuli! Karibu kwa povu!
Na kwako pia!Wewe endelea kuamini hivyo,kwa sababu imani ni nusu ya kuona.
Baada ya 28/10 utaelewa kuwa imani yako ilikuwa hewa