Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man umepotea sana. Upo?Unampiga mtu risasi 30 bado anakusumbua unaambua kupanga kumchoma sindano ya sumu ukiamini itamuua, safari hii hatutakimbilia kuvaa tshirt za pona haraka lisu mmeshatuona mazombi nchi hii...
Hii ya Leo ni rekodi ya dunia ,lazima iingizweMgombea wa Urais Chadema Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
Hata 'Gaddafi wa Iraq' na 'Sadam wa Kuwait' alisema hivi hivi!Haipogo mkuu - ndoto za kimweri
Inaitwaga GHARIKA.....Tutege masikio maana mtikisiko wa leo utafika hadi mitaa ya Lumumba, mitaa ya Kinondoni, mitaa ya Shabaan Robert.
View attachment 1604601
Nimependa sana ile kauli ya Campaign Manager wa Lissu ya kwamba “Safari hii watatambaa kwa magoti hadi yageukie nyuma “
Moto ndio kwanza umeanza...
Hivi Lissu aliwezaje kuishi maisha safi bila doa lolote kufikia hivi leo amekuwa tumaini pekee la wazalendo nchi hii? Alijua tokea utotoni akaishi kwa misingi ya uongozi?
Nimetafakari sana, watesi wake wangemmaliza kisiasa endapo angekuwa na hata chembe ya doa.
Membe in LISSU MjumbeWhere's my brother Ben Membe?
Tutege masikio maana mtikisiko wa leo utafika hadi mitaa ya Lumumba, mitaa ya Kinondoni, mitaa ya Shabaan Robert.
View attachment 1604601
Nimependa sana ile kauli ya Campaign Manager wa Lissu ya kwamba “Safari hii watatambaa kwa magoti hadi yageukie nyuma “
Moto ndio kwanza umeanza...
Hivi Lissu aliwezaje kuishi maisha safi bila doa lolote kufikia hivi leo amekuwa tumaini pekee la wazalendo nchi hii? Alijua tokea utotoni akaishi kwa misingi ya uongozi?
Nimetafakari sana, watesi wake wangemmaliza kisiasa endapo angekuwa na hata chembe ya doa.
Baada ya CDM kuingia madarakani sitakuwa na budi ya kufungua account yangu hapa Jf yenye ID ya majina yangu halisi pia yenye picha yangu halisi...maana sitakuwa na hofu ktk nchi ya Uhuru.
ni kweli..?Ni wachache ndio tuna uwezo huo, japo mie nimetumia jina la bibi yenu yani mke wangu
Hadi naukumbuka muziki wa Dr.Dree...KEEP THEIR HEAD RINGING✌😀Mgombea wa Urais Chadema Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi ya asilimia 60%.
Jimbo la Hai anakogombea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ni moja ya sehemu atakazotua Tundu Lissu kumnadi Jemadari wa Siasa za Upinzani Tanzania.Ni wiki iliyopita tu Kamanda wa Polisi Hai bila aibu alimropokea Mbowe hadharani kwamba hatashinda ubunge jimboni humo.Wananchi wa Hai walisema Mungu amemuumbua RPC huyo akaropoka hadharani kilichokuwa kimepangwa nyuma ya Pazia.
Pia baada ya kutoka Hai mgombea huyo wa Urais atatua Moshi mjini Jimbo ambalo limekuwa Upinzani kwa miaka 25 sasa
Timizeni ratiba na utalii, wengine tunaamini rais ni Magufuli! Karibu kwa povu!
Huwa ninawashangaa sana tu Watu fulani fulani wanaojidanganya na kudhani kabisa kuwa Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania 2020 hii. Poleni!Mgombea wa Urais Chadema Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.