Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Live update: Tunamngoja Mgombea wa Chadema - Urais, katika viwanja vya leganga Shuleni.....

Ukitokea Arusha Shuka leganga, hapo hapo upande wa juu ndo kuna mkutano!

Kama una tokea Arusha mda Huu au Baadae kidogo utawahi maana ndo wanafunga vipaza sauti
asante mkuu nilikuwa nasubiri kwa ham ntafika bila kukoma
 
Mkuu Molemo pamoja sana kamanda. yale Mafuriko ya jana pale Karatu imewafanya watu upande wa pili wakate tamaa....Asubuhi hii saa tatu Mh. Rais anayesubiri kuapishwa atazungumza na wana-Karatu mambo makuu mawili.

1. Ilani ya uchaguzi ya CDM [Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu]
2. Elimu kwa mpiga kura na namna ya kujihami na uharamia wowote. Mwaka huu kitaeleweka
CCM wanatamani kumtoa uhai
 
Hahaha Magufuli anatamani apande jukwaa la Tundu Lisu, kupendwa raha sana.

Yeye wanamjazia wanafunzi kesha shtuka pia.
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Baada ya CDM kuingia madarakani sitakuwa na budi ya kufungua account yangu hapa Jf yenye ID ya majina yangu halisi pia yenye picha yangu halisi...maana sitakuwa na hofu ktk nchi ya Uhuru.
Wewe km mimi..... Na tutamsaidia sana Tundu Lissu kutengeneza nchi ya neema. Hii nchi imabarikiwa sn ila tuna ukoo wa panya kwa miaka 60 ndio shida hii lkn miaka hii mitano tumekua na huyu anayeendesha nchi kifamilia....
 
Back
Top Bottom