Ccm kwa miaka mingi wamekuwa wakinufaika na mgombea upinzani dhaifu na elimu ndogo ya wapiga kura kuhusu uchaguzi. Kwa nyakati hizi ambapo vyama saliti vimekufa na vyama halisi chadema na ACt kushirikiana ni wazi kuwa CCM haiwezi kushinda kwenye kura. Na hata wakijaribu uhuni wa.kuiba bado hawatoweza kutokana na mwamko wa watanzania.