Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Mkuu Molemo pamoja sana kamanda. yale Mafuriko ya jana pale Karatu imewafanya watu upande wa pili wakate tamaa....Asubuhi hii saa tatu Mh. Rais anayesubiri kuapishwa atazungumza na wana-Karatu mambo makuu mawili.

1. Ilani ya uchaguzi ya CDM [Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu]
2. Elimu kwa mpiga kura na namna ya kujihami na uharamia wowote. Mwaka huu kitaeleweka
Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu
IMG_20201017_164351_061.jpg
 
Nimependa sana ile kauli ya Campaign Manager wa Lissu ya kwamba “Safari hii watatambaa kwa magoti hadi yageukie nyuma “
Moto ndio kwanza umeanza...

Hivi Lissu aliwezaje kuishi maisha safi bila doa lolote kufikia hivi leo amekuwa tumaini pekee la wazalendo nchi hii? Alijua tokea utotoni akaishi kwa misingi ya uongozi?

Nimetafakari sana, watesi wake wangemmaliza kisiasa endapo angekuwa na hata chembe ya doa.
Ndiomaana tunataka tar 28 aingie magogoni atusafishie Nchi
 
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.

Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi ya asilimia 60%.

Jimbo la Hai anakogombea Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ni moja ya sehemu atakazotua Tundu Lissu kumnadi Jemadari wa Siasa za Upinzani Tanzania.Ni wiki iliyopita tu Kamanda wa Polisi Hai bila aibu alimropokea Mbowe hadharani kwamba hatashinda ubunge jimboni humo.Wananchi wa Hai walisema Mungu amemuumbua OCD huyo akaropoka hadharani kilichokuwa kimepangwa nyuma ya Pazia.

Katika mkutano wa Hai CHADEMA inatarajiwa kumkaribisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharrif Hamad ambaye atapanda Jukwaani kumnadi Mwenyekiti mwemzake ambao ni marafiki wakubwa katika siasa za Tanzania

Pia baada ya kutoka Hai mgombea huyo wa Urais atatua Moshi mjini Jimbo ambalo limekuwa Upinzani kwa miaka 25 sasa

Picha 2 za Mwanzo ni Lissu na Sheikh Ponda wakiwa Mto wa Mbu Monduli

Mwenyezi Mungu amlinde na kumtangulia.
 
Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]
Wewe malaya wa kisiasa unalingine tena zaidi?

Roho za kikatili na visasi hatuzitaki!
Damu imemwagwa nyingi kwa ajili yake hatumtaki!

Ni yeye 2020!
 
Unampiga mtu risasi 30 bado anakusumbua unaambua kupanga kumchoma sindano ya sumu ukiamini itamuua, safari hii hatutakimbilia kuvaa tshirt za pona haraka Lissu mmeshatuona mazombi nchi hii.
Alipigwa lisasi kweli au lisasi la plastic
 
Molemo, si haki kuanzisha uzi muhimu kama huu na huna uwezo wa kutoa updates!!
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.
 
Eti eeh?
EkORYQlXsAElaoC.jpg
 
Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu View attachment 1605002
fala wewe...hio mikopo ukimaliza chuo kwanza huna uhakika kua utaajiriwa mana tanzania hakuna ajira, una deni linakusubiri na hivi sasa ukianza kazi ya laki tatu kwa mwezi makato ni ya kupata ugonjwa wa moyo...then uko hapa kujisifu pumbu wewe
 
Sisi ambao hatukuongezwa mishahara kwa miaka mitano. Na tunadaiwa riba kubwa kwa ule mkopo wa elimu ya juu tunajambo letu tarehe 28 mapema kabisa kabla jogoo haja vaa[emoji108][emoji3577][emoji3577]
Baelezeee Baelezee
 
Huyoo shogaa akaapiswe ubeligiji akiwa anaolewa sisi hapa tunamtaka MAGUFULI mzalendo na mnyenyekevu View attachment 1605002
Tuliopatiwa mkopo 2015, na ukakatwa 2016 tukaishi Kama mashetani tunajambo letu.

Waliopata mkopo uliosainiwa kulipwa 8% lakini wakalazimishwa kulipa 15% wanajambo Lao 28/10/2020

Waliopata mkopo wakasoma afu wakakosa ajira wanajambo Lao 28 10 2020

Shetani Hana rafiki
Screenshot_20201010-153905.jpg
 
Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]

Hii ni mojawapo ya I'd za mwezi September, ziko huku mitandaoni kwa ajili ya siasa majitaka za ccm wakati huu wa kampeni.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura.

Hii ni I'd ya wiki iliyopita, ni hivi wapiga kura ni 29m+ nje ya Watanzania 59m+, kiuhalisia idadi hii ni kubwa kuliko idadi halisi ya watu wazima wanaopaswa kupigwa kura. Na hakuna uwezekano wa hata hao watu 29m wote kupiga kura. Ni vyema yake kimya au ukubali kuwa tume imepika idadi ya wapiga kura. Kama imepika idadi ya wapiga kura, itashindwa kupika matokeo?
 
Back
Top Bottom