Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Subpost 4 - Leo tumekutana na wananchi wa Karatu, Mto wa Mbu, Masama na Boma Ng’ ( 426 X 640 ).jpg
 
Naona Maalim Seif ndio anaingia uwanja wa Mashujaa Moshi, bado Mh Rais Lissu[emoji1422]
 
Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]
Ni kweli chaguo lako ww na wazazi wako tu... Sio kwa watu wenye tunajitambua...
 
Simuamini sana Molemo!!! Kama mhujumu hivi. Thread muhimu za chama chake huwa anakimbilia kuanzisha halafu hatoi update. Nimeshamfuatilia sana long time.
 
Back
Top Bottom