Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Naona Maalim Seif ndio anaingia uwanja wa Mashujaa Moshi, bado Mh Rais Lissu[emoji1422]
 
Tutampeleka shoga KWa mume wake kule ubeligiji maana Sasa hivi anatafuta kupendwa na mume sisi chaguo letu ni Magufuli [emoji736][emoji736][emoji736]
Ni kweli chaguo lako ww na wazazi wako tu... Sio kwa watu wenye tunajitambua...
 
Simuamini sana Molemo!!! Kama mhujumu hivi. Thread muhimu za chama chake huwa anakimbilia kuanzisha halafu hatoi update. Nimeshamfuatilia sana long time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…