Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Anatamani awatumbue wateule wake wote wa geita na viunga vyakeMeko huko aliko sukari na shinikizo la damu vimepanda kwa pamoja. Amejuuuta kumtambua mwamba was Singida (Lissu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatamani awatumbue wateule wake wote wa geita na viunga vyakeMeko huko aliko sukari na shinikizo la damu vimepanda kwa pamoja. Amejuuuta kumtambua mwamba was Singida (Lissu)
Hee kumbe kweli ya 2015! aibu Sana.
Kama risasi 16 zilishindwa, wizi wa kura ndiyo haiwezekani kabisaaaa.Hutaamini kitakachotokea October 28, 2020.
Tuliza mshono, wew ambaye hutengenezi picha, rusha ulizopiga hapo.Nipo mkoani kuanzia alipoingia nipo beneti na yeye ,hakuna lolote zaidi ya waendesha baikeli alimaarufu (daladala),mlipaji hao daladala na waendesha (bodaboda ),majina kapuni ,
Nikwambie bila kuwapa ujira hao vijana msafara wa Lissu unazidiwa na Diamond Platnum ,gari zake mbili vx nyeupe aliyomo yeye na ile ya walinzi +ya jeshi la polisi ,over ,danganya wasiokuwepo eneo la tukio kwa picha za kutengeneza kwa sababu unalipwa
BuchosaMolemo bana!
Hujachoka tu kuandika thread kama hizi kuanzia mwaka 2010.
Nakumbuka wakati wa kampeni mwaka 2010 ulivyokuwa unaleta thread kuhusu Dk. Slaa.
Mwaka 2015 kwenye Uchaguzi Mkuu pia ukaleta tena thread kama hizi!
Mwaka huu hujachoka pia lakini tatizo lako kila ukileta thread kama hizi mgombea wako hupigwa chini!
Jiandae na mwaka huu kama ilivyotokea miaka ya nyuma!
Wabongo MPOOOOOOOO!
sasa kama hali ndio hii huko sengerema unadhani ataponea wapi ?Aisee na kura tupige nyingiii za kutosha
Ccm wakiona hivi hawalali wanawaza kuiba kura tu
Nasubiria kwa hamu aiseesasa kama hali ndio hii huko sengerema unadhani ataponea wapi ?
Tutamkomesha mwaka huu.....Hebu acha kuweka UPUUZI WAKO. Haki na uhuru HUSTAWISHA Taifa lolote lile duniani. Watanzania tunataka HAKI NA UHURU na Kiongozi anayeheshimu Watanzania, Katiba, Bunge na Mahakama si kama huyo dhalimu anayedhani ana hati miliki ya Tanzania hivyo anaweza kufanya kila aina ya maovu Nchini.
Wacha buana😆😆😆😆😆Hebu acha kuweka UPUUZI WAKO. Haki na uhuru HUSTAWISHA Taifa lolote lile duniani. Watanzania tunataka HAKI NA UHURU na Kiongozi anayeheshimu Watanzania, Katiba, Bunge na Mahakama si kama huyo dhalimu anayedhani ana hati miliki ya Tanzania hivyo anaweza kufanya kila aina ya maovu Nchini.
Wacha buana😆😆😆😆😆
Kwa taarifa yako kuibiwa mtaibiwa na hamna ubavu wa kufanya chochote Kama tumewaengua madiwani wenu karibu 400 na mko kimya mnafikiri mnaweza kufanya nini?Mwaka huu tumeleta mwamba atakayewahenyesha ole wenu mjaribu kuiba kura! Safari hii hatuibiwi kiboya, tukishinda lazima mtangaze! Magufuli usicheze na uchaguzi huu utaishia the Hague, Simon Sirro usicheze na uchaguzi huu utaishia the Hague, Kaijage na Mahera msicheze na uchaguzi huu utaishia the Hague!!