Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

By design mifumo yote inawabeba hawa jamaa hawahitaji kuiabudu.
Ningekuwa IGP namchenjia tu kwamba tulia haki itendeke, nikiwa Mwenyekiti wa tume namzingua tu haki itendeke ningekuwa mkuu wa majeshi namchana tu mzee tulia haki itendeke hapo asingekuwa na jinsi zaidi ya kukimbilia jimboni Gisenyi alikotoka
 
Ningekuwa IGP namchenjia tu kwamba tulia haki itendeke, nikiwa Mwenyekiti wa tume namzingua tu haki itendeke ningekuwa mkuu wa majeshi namchana tu mzee tulia haki itendeke hapo asingekuwa na jinsi zaidi ya kukimbilia jimboni Gisenyi alikotoka
Ana haki ya kuteua na kutengua wakati wowote. Amini nakwambia ktk siku za mwisho mwisho za kampeni wakuu wa taasisi zote za kijeshi wataongea na vyombo vya habari wakitoa jumbe zinazo saidia CCM kushinda!. Mark my words.
 
Nakuhakikishia hakuna Kura itakayoibiwa mwaka huu.Mlizoea Sasa mmekutana na Mwamba msidhani ni Lowassa huyu
Si mpaka muwe na hizo kura za kuibiwa?

Mtu anategemewa kupata asilimia 20 unamuibia kitu gani hapo?
 
Si mpaka muwe na hizo kura za kuibiwa?

Mtu anategemewa kupata asilimia 20 unamuibia kitu gani hapo?
Trh 28/10 msije tu kuanguka kwa presha nasikia kuna wengine tayari zimeanza kupanda.
 
Alipelekwa Kenyata mwenye akili timamu itakuwa huyu mshamba mwendawazimu we mbulula kweli
Kuna wa kumpeleka sasa.

Wakati yeye ndio raisi na piah CCM itazidi kutawala baada ya yeye kupita!
 
Alipelekwa Kenyata mwenye akili timamu itakuwa huyu mshamba mwendawazimu we mbulula kweli
Kenyata ana akili akili gani? Kawambie wakenya hayo maneno uone kitakachokutokea!

Ok tufanye ana akili na alienda huko, haya nini kilijiri? Maisha ya watu zaidi ya 1500 yalirudi?

Oktoba hii mbona tutawafurahisha sana.
 
Unamfahamu kwanza?
Mkuu Molemo, hawa watoto watakupotezea muda wako wa maana! Anasema hakuwepo, kwa sababu hamjui, na hata hajui kilicho mpata! Tumshukuru Melo, hili jukwaa watu wote ni ruksa kuingia!
 
Nitakwenda. Sababu mbili zinazonifanya niende japo sikuwa na mpango tokea mwanzo wa kampeni Ni.
1. Taarifa zinabaniwa. Mfano TBC 1 hawajisumbui hata kutoa taarifa japo ya dakika moja kuhusu mkutano wa Lisu. Na DSTV hawana Cha ITV Wala StarTV. Hivyo TBC 1 ndiyo channel pekee ya Habari ndani ya dish.

2. Kuna mgombea alisema picha za mikutano ya Lisu ni edit ya zile za 2015. Nami nikiwa Tomaso, siamini mpaka nipapase, nakwenda ku-verify kama kweli Wana CHADEMA huwa Wana edit picha wanazotuma mtandaoni, au huwa Ni za kweli.

Nikishaona na kumsikiliza, nitabaki na uamuzi ndani yangu wa kura yangu nimpigie nani tarehe 28/10.
Usiache kuleta mrejesho
 
Ningekuwa mchora katuni ningechora jinsi ccm na meko wakiiabudu tume na polisi na jw ili wabebwe.
Kwani sheria zinazotungwa haziwagusi hao polisi. Kikokotoo hakiwahusu polisi, JKT,JW . Mishahara kutoongezwa.

Kama nao wanaguswa na mambo ya hovyo ya uongozi huu, Basi nao tarehe 28/10/2020 Wanaenda na Ni yeye.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.

Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda.

Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli Lakini shauku ya wananchi kumuunga mkono mgombea wa Chadema inakitia hofu kubwa chama tawala Cha CCM.

Lissu aliwasili usiku mjini Geita na kulakiwa na halaiki kubwa ya watu wanaokadiriwa kufikia elfu 10

Umati wa huo wa watu ulimsindikiza mpaka Hotelini alikofikia na ulikesha nje ya Hoteli hiyo kwa kile walichodhani wanamlinda Rais wao.

Mapokezi ya Lissu Geita ni salaam tosha kwa chama tawala na mgombea wake kwamba Zama zao zinaelekea ukingoni

Molemo Media itawaletea yatakayojiri katika mkutano wa Hadhara mjini Geita

Video ya kwanza chini inaonyesha mapokezi yake ya Jana alipotua kwa Mara ya kwanza mkoani Geita Jimbo la Busanda.

Molemo video Hiyo hapo ipandishe, lissu wakati anaingia Geita mjini usiku SAA 2
 
Back
Top Bottom