Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Nipo mkoani kuanzia alipoingia nipo beneti na yeye ,hakuna lolote zaidi ya waendesha baikeli alimaarufu (daladala),mlipaji hao daladala na waendesha (bodaboda ),majina kapuni

Nikwambie bila kuwapa ujira hao vijana msafara wa Lissu unazidiwa na Diamond Platnum ,gari zake mbili vx nyeupe aliyomo yeye na ile ya walinzi +ya jeshi la polisi ,over ,danganya wasiokuwepo eneo la tukio kwa picha za kutengeneza kwa sababu unalipwa
 
Tuliza mshono, wew ambaye hutengenezi picha, rusha ulizopiga hapo.
 
UONGO OVER, kama ni kweli tuma walau video ikionyesha hivyo ulivyovitaja nitakupa millioni,edited sio hizi tunazoziona. kubalini ukweli ili mjipange na muongeze bidii kulikwamua jahazi,mambo si shwali kaka kuna shida!
 
Buchosa
 

Attachments

  • Buchosa ( 352 X 640 ).mp4
    2 MB
Buchosa tena
 

Attachments

  • Mapokezi ya Lissu Wilaya ya Sengerema Jimbo la Buchosa ( 352 X 640 ).mp4
    3.2 MB
Hebu acha kuweka UPUUZI WAKO. Haki na uhuru HUSTAWISHA Taifa lolote lile duniani. Watanzania tunataka HAKI NA UHURU na Kiongozi anayeheshimu Watanzania, Katiba, Bunge na Mahakama si kama huyo dhalimu anayedhani ana hati miliki ya Tanzania hivyo anaweza kufanya kila aina ya maovu Nchini.

 
Tutamkomesha mwaka huu.....
 
Wacha buanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waliokotwa kwenye viroba kama kungekuwa na anayekuhusu usingeandika huo upuuzi. Waliobomolewa nyumba zao pamoja na kuwa mahakama ilizuia ubomoaji wangekuwa wanakuhusu usingeandika huo upuuzi. Ben Saanane, Azory au Lissu mmoja angekuwa anakuhusu usingeandika huo upuuzi. Hayo ni baadhi tu ya maovu chungu nzima ya huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.

Wacha buanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kwa taarifa yako kuibiwa mtaibiwa na hamna ubavu wa kufanya chochote Kama tumewaengua madiwani wenu karibu 400 na mko kimya mnafikiri mnaweza kufanya nini?

Yaani ni hivi kura mtaibiwa na mkireta chokochiko tunafunua marinda kuanzia ya shangazi zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…