Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Mikutano mikuu ya vyama vya siasa ikiwemo CCM huhudhuriwa na vyama rafiki toka nchi mbalimmbali Duniani.Chadema naona tu akina Kambaya wa CUF ndio wageni hakuna wengine toka nje ya nchi?
 
Naona umepaniki,jikite kwenye uzinduzi wa jengo chato maana pamedoda sana.Leo habari ya mjini ni mkutano mkuu wa chama la wana tu
 
Mbowe alibadili gia angani kachukua mpunga wa nguvu kutoka kwa Lowassa kagawana na mkwe wake Mtei! Sasa yuko anakula luzuku mil326 kila mwezi anawaadaa wanachama na uchaguzi uchwara! Mbona hataki kuachia kiti?
 
Chadema ndio habari..✌🏾✌🏾✌🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Mwanza kulidoda na Chatto kumedoda leo vibaya sana. CCM imekataliwa duniani na mbinguni, Tanganyika na Zanzibar. Mbowe kiboko ya MaCCM. Umayavuruga hayapati usingizi. Yanakesha na kucheketuka wachawi hawa.

#MWAMBATUVUSHE
 
Polisi Tanzania wamefanyakazi ya kukitangaza chama jana...
Huku kwetu viongozi wa serikali za mitaa wanapata tabu sana! Wananchi wanawakataa kwa swali kwamba ni nani kakuchagua? kama ni matatizo tutaangalia sisi wenyewe namna ya kuyatatua.
 
Kipfupi Dr Slaa kaondoka na vyama vyote rafiki vya chadema vya ulaya na Marekani Lowasa kaondoka na Kenyatta na Chama chake hawajahudhuriaha Kenyatta tu hapo hawakutuma wajumbe.

Raila odinga na Odm yake waliokuwa rafiki wa Chadema zamani hawajafika.

Wamebaki na FNL ya Burundi tu .Inatisha
 
Ila wewe jamaa kilazaa
 
Huyuhuyu dokta mihogo anayeshauriwa na mushumbusi.
 
YANAYOJITI YA NN WAKATI N KUPOTEZA PESA TU MWENYEKITI MNAMJUA
MAKAMU MNAMJUA
 
Wamekwenda kupata msosi,hadi kesho saa 4 asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…