Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki huyo aamlishe haki vocabulary ya haki haipo kwenye kamusi yao tunajua jinsi tutakavyoidai haki muda ukifika!Mkuu. Mwambie Mh Rais Magufuli aamlishe HAKI itendeke kwenye uchaguzi alafu baada ya hapo utakuwa na la kuongea kuhusu kufa kwa chadema.
adui kaalikwa lkn kaufyata.. wanamtumia naibu msajili wa vyama kama muwakilishi waojamani CCM haikualikwa?
Wameona aibu, hapo ni usafi kwenda mbele, wenyewe wachafu kuanzia mavazi, mawazo, utendaji na kauli!adui kaalikwa lkn kaufyata.. wanamtumia naibu msajili wa vyama kama muwakilishi wao
Nadhani imejialika kuja kung'oa bendera za Chademajamani CCM haikualikwa?
mwenyekiti wa chadema taifa
Usipende kulinganisha vitu vya kijinga na shughuli za Chadema!Jana CCM tulikua na uchaguzi kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC-Arusha.
Hatukuweka bendera hata moja njiani ila kulikua na wanachama wenye sare pekee.
najua chamachenu cha fisiem hakilali hakipati usingizi kwa ajili ya hili chama kubwa CHADEMA mtahangaika weee hujuma zenu zinaishia barabarani lkn humu ndani ya ukumbi hamuingii ng'ooooooo mpaka kileweke.
tunashereheka baada ya kazi nzitoKuna rafiki yangu tulikuwa wote Chadema baadaye CCM wakamnunua kwa pesa ndefu na kumpa cheo serikalini!Leo ameona picha ameumia sana KUTOKUWA CHADEMA!
Njaa mbaya sana!
Mumemgeuka tena? CCM kama wachawi wa Gamboshi vileMwambe alishakula chake mbowe alimpanga iliionekane kulikuwa na patashika kumbe picha la kihindi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiitwa wapumbavu na bosi kwenu muwe mnashangilia maana anawafahamu jinsi mlivyo! Jana ilikuwa unampigia upatu huyo Leo amekupigia simu amehongwa?
pale AICC kuna bendera za kutosha mnaweka za niniJana CCM tulikua na uchaguzi kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC-Arusha.
Hatukuweka bendera hata moja njiani ila kulikua na wanachama wenye sare pekee.
Serikali yako ya chuma haijawapeleka mahakamani kwa uhujumu uchumi?
Mbona kutwa kuwabambikia kesi kuwahujumu kwa kila kitu? Kama mbowe asingekuwa na nguvu iweje magufuli anatumia nguvu kubwa kuwahujumu chadema si aache wananchi ndiyo waamue wenyewe?CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli