Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

CDM hongereni sana, nawapongeza pia kwani hampo tayari chama chenu kuwakabidhi 'ze dogs'
 
CHADEMA, uchaguzi huu eidha ni kaburi lenu, au mwanzo wenu wa maisha mapya.
Chagueni mtu atayeweza juzushinda fitna, hila, na mbinu chafu za CCM, vinginevyo mwaka kesho bungeni atarudi Sugu peke yake
najua chamachenu cha fisiem hakilali hakipati usingizi kwa ajili ya hili chama kubwa CHADEMA mtahangaika weee hujuma zenu zinaishia barabarani lkn humu ndani ya ukumbi hamuingii ng'ooooooo mpaka kileweke.
kuna vyama vingi tu humu vingine hat mikutano mikuu yao haijulikani imefanyika lini na hutasikia FISIEM wakilialia kuhusu hivyo vyama ila kwa hiki chama la wana hawalali hawapumui kudadadeki
 
Kuna rafiki yangu tulikuwa wote Chadema baadaye CCM wakamnunua kwa pesa ndefu na kumpa cheo serikalini!Leo ameona picha ameumia sana KUTOKUWA CHADEMA!

Njaa mbaya sana!
tunashereheka baada ya kazi nzito
1576667940503.png
 
Kila la heri uchaguzi uwe huru na haki sio kama ule wa chama Cha washusha bendera ,kenge wa kijani.
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Mbona kutwa kuwabambikia kesi kuwahujumu kwa kila kitu? Kama mbowe asingekuwa na nguvu iweje magufuli anatumia nguvu kubwa kuwahujumu chadema si aache wananchi ndiyo waamue wenyewe?
 
Back
Top Bottom