Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Molemo,
TBC inatakiwa irushe matangazo bila malipo lakini haithubutu kufanya hivyo na vituo vinginevyo vinaogopa kufungiwa.
 
johnthebaptist
Vyombo vyote vya habari viko Chato kwenye fursa ya kuteuliwa kwa nafasi mbalimbali zitakazokea katika Mkoa huo mpya. Shughuli za kule zimefanywa kusudi ili kufunika Mkutano wa CHADEMA usipate coverage kubwa hata Bendera zao eneo la Mkutano zimeondolewa na polisi ili kusiwe na alama yoyote ya kuvuta watu kushuhudia yanayoendelea.
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Ni kwa sababu Mbowe si mgonjwa wa akili na wala hajachoka kama huyo unaemshindanisha ambaye katangaza wazi kuwa amechoka. HAKUNA CHUKI WALA WOGA
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Go straight to the point!sema wewe unataka Mwambe achagulie na siyo Mbowe manake naona umezunguka sana 😀😀😀
 
Mpaka sasa Chadema umepoteza mwelekeo, haina uhakika hata na kiti kimoja cha udiwani. Anahutajika mtu wa kuivusha Chadema, Mbowe hana jipya, mbinu za Magufuli haziwezi kabisaaaaaa
Mkuu. Mwambie Mh Rais Magufuli aamlishe HAKI itendeke kwenye uchaguzi alafu baada ya hapo utakuwa na la kuongea kuhusu kufa kwa chadema.
 
Back
Top Bottom