Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Akili ni nywele na kila mtu anazake. Mpaka sasa sijasikia sera za wagombea kwa kuwa agenda ni uchanguzi wa Ngazi ya juu.
So far ni mipasho na mbwembwe.
Pasikali amejisemea Hata sasa Hamjui mlifanyalo,
 
Ni heri hata kampeni hiyo ingefanywa na mzee Hashimu Rungwe wa Chauma au Mbatia wa Nccr mageuzi lakini siyo hawa CUF waliosambaratisha UKAWA.

Chadema leo inalamba matapishi yake?.......ajabu kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ubarikiwe Ubarkiwe sana, nimeanza kukufuatilia toka asubuhi hapa nasubiri matokeo ya uchaguzi. Umefanya kazi kubwa ningeijua hata Tigo pesa yako ningekupa hata soda. Sisi tuliombali na DSM tungeona kwenye magazeti kesho maana vituo vyote vimetishwa ole wake ataonesha live. Pole kwa kazi nzito
s
 
..No hate.

..No fear.

..kama CUF wameamua kujirekebisha sidhani kama ni jambo baya kushirikiana nao.
 
Ni heri hata kampeni hiyo ingefanywa na mzee Hashimu Rungwe wa Chauma au Mbatia wa Nccr mageuzi lakini siyo hawa CUF waliosambaratisha UKAWA.

Chadema leo inalamba matapishi yake?.......ajabu kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
Kigogo 2014 alivimba bichwa akasahau kuwa siasa ni mchezo wa timing
 
Ni heri hata kampeni hiyo ingefanywa na mzee Hashimu Rungwe wa Chauma au Mbatia wa Nccr mageuzi lakini siyo hawa CUF waliosambaratisha UKAWA.

Chadema leo inalamba matapishi yake?.......ajabu kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee piga fundo moja la mbege ulete habari kamili hiyo kampeni imepigwaje? Mbona unarukaruka kama umepiga kiroba?
 
Na bado MaCCM lazima mnye si kwa kucheketuka huko na mambo yasio wahusu.
CHADEMA imewatia dole la kati KUDADEKI.
Ukilala CHADEMA na ukiamka CHADEMA
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Pamoja na Mwambe, wengine watakaofukuzwa kwenye Chama ni Komu, Kubenea +/- Prof Safari. Rejea hotuba ya mh. Mbowe wakati akihutubia mkutano wa uchaguzi kanda ya kaskazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…