Mbona mnaumia sana nyie majitu? Ratiba ya chama sio yenu mnaitakia nini?Akili ni nywele na kila mtu anazake. Mpaka sasa sijasikia sera za wagombea kwa kuwa agenda ni uchanguzi wa Ngazi ya juu.
So far ni mipasho na mbwembwe.
Pasikali amejisemea Hata sasa Hamjui mlifanyalo,
Ni bora tuwe na sisi hatuangalii TV zote za ndani na bila kupeleka matangazoMbowe amesikitishwa na hali iliyofikia sasa ya vyombo vya Habari kuogopa kutangaza habari za Chadema ambapo amesema waliwasiliana na vituo vyote vya Telesheni ili kutangaza mubashara mkutano mkuu Lakini wote waliogopa na kusema ni vigumu kwao kutangaza mkutano wa Chadema.
Atarudi chamani. Ama wewe unataka umpeleke wapi tena?Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Hahahha kwani mtoa matokeo ni yule jamaa yatu.Leo Cecil Mwambe anakwenda kuwashangaza wengi kama Mwadui vs Simba SC!
Naunga mkono hojaCHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Wewe badala na kushughulika na Rais kuzindua visima vya maji huko Chato unapoteza muda wako na mkutano wa Chadema?Ndio toka Slaa ameondoka ulishasikia Mbowe kaenda Marekani au ulaya kukutana na Wafadhili wa Chadema?
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Kasi gani ya MagufuliCHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Ha ha haaaaa!!! Imebidi nicheke tu. Hivi unajua kuwa akili, utashi, ufahamu, usomi, ujinga, ungumbaru na hata ndoa za WanaCCM Ukiwepo wewe na familia yako vimeshikiliwa na Magufuli? Kama huamini ngoja leo ajisahau aseme Mkurugenzi aliyeshusha bendera za CHADEMA namtumbua muone mtakavyoandaa makala za kumpongeza.
I wish you could be as bold as your profile picture to offer the details. The more noisy and disoriented speaks louder than silence.Mbona mnaumia sana nyie majitu? Ratiba ya chama sio yenu mnaitakia nini?
Please please please keep that argument inside your mind and territory .🔥🔥🔥CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli