Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Atafute chama kingine wakati mwenyekiti wa CCM ameishamwambia arudi!
 
Ndio toka Slaa ameondoka ulishasikia Mbowe kaenda Marekani au ulaya kukutana na Wafadhili wa Chadema?
Kwani wewe unashahuriwa au kushahuriana na nani?
Mbona Leo hatusikii sera tunasikia mipasho Tu...kama kunawatu wenye akili zaidi wanaowashahuri.
 
Toka mlipoanza huu uzi kipi cha maana mmetuambia zaidi ya vinywa vinavyotoa maajabu
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!

Naona umechangia kwa maoni ya bendera fuata upepo ili uonekane na ww ulitoa maoni yako. Si vibaya huu ndio uhuru wa maoni.
 
Chadema Kwisha.Chama kilichokuwa kimesheni viongozi wa dini wa maana kimeishia kuwa na Akina kundecha na Mwamakula aiseee
 
Askofu Pengo na Sheikh mkuu wao hawajatoa neno au hawajaalikwa?!

Au wako mwanza na chato kupokea ndege na kuzindua mahakama?!
Acha kwa uchache kazi zilizofanyika Chato Jana. Hawakuishia kuzindua mahakama bali kulikuwa na kuweka jiwe LA msingi kituo cha zimamoto, jiwe LA msingi LA msikiti na kuzindua kisima cha maji.
Hakika Rais ni mchapa kazi sana na kote alikuwa ameambatana na MC wake Job Ndugai Spika wa Bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu maendeleo hayana vyama,kwanini magufuli hakuhudhuria mkutano wa CHADEMA? Nimewaona viongozi wa vyama vingine kama Shibuda na Dovutwa, au Magufuli hakupewa mualiko?
 
Toka mlipoanza huu uzi kipi cha maana mmetuambia zaidi ya vinywa vinavyotoa maajabu
Kwani nani umeona hapa ni msemaji wa Chadema? Hapa unapewa yanayotokea na kila mtu anatupa atakalo. Subiri msemaji wa Chama atayaeleza maazimio baadae.
Mnakataza/mnatia woga TV stations kuonyesha kila mnakuja kuwalalamikia member wa JF eti hawawapi habari? Hebu mtupishe huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@
Kwa sababu maendeleo hayana vyama,kwanini magufuli hakuhudhuria mkutano wa CHADEMA? Nimewaona viongozi wa vyama vingine kama Shibuda na Dovutwa, au Magufuli hakupewa mualiko?
Kwa hali ile ya 'tashwishwi' angejikuta yuko taabani kwa chuki na wivu.
Huwezi kuwapania kuwaumiza, kuwanyanyasa na kuwadhulumu na bado ukute watu wana sura za bashasha namna ile!
Chukua picha ya hadhira ile na ya mikutano ya pale Dodoma utaona tofauti. Wale utadhani wamelishwa ndimu na sifongo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nani umeona hapa ni msemaji wa Chadema? Hapa unapewa yanayotokea na kila mtu anatupa atakalo. Subiri msemaji wa Chama atayaeleza maazimio baadae.
Mnakataza/mnatia woga TV stations kuonyesha kila mnakuja kuwalalamikia member wa JF eti hawawapi habari? Hebu mtupishe huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo haya TV singizia zimegoma mumeshindwa live streaming online?

Chadema kwa uongo hamjambo.Live streaming online kawazuia Nani? Mnanajitia ohh chadema digital ,digital wapi uongo mtupu
 
Matokeo ya uchaguzi wa chadema Taifa

Mwenyekiti Taifa.

Freeman Mbowe 886
Cecil Mwambe 59

Makamu Bara Tundu Lissu 930

Sofia mwakagenda 11(ingawa alijitoa wakati anahutumia wakati wa kuomba kura na kumuunga mkono Lissu)

Makamu Zanzibar

Said Issa Muhammad 839

Kura za hapana 95

No Hate
No Fear.
 
Back
Top Bottom