Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Hakuna uchaguzi katika historia zote za uchaguzi chadema ambao ukifanyika huiacha CHADEMA ikiwa imesambaratika. Haijawahi tokea uchaguzi CHADEMA ukiacha Chama salama.Tumrona Kanda ya Pwani uchaguzi wa CHADEMA umeleta zahama Sumaye kaondoka

Sasa umemalizika kinachofuata ni kuhama kwa viongozi na wanachama.

Stay tuned
 
Chadema maskini uchaguzi wa kuswahili tu hakuna mtu.mweupe toka Chama chochote rafiki Duniani aliyekanyaga kwenye mkutano wao.

Mgeni pekee kiongozi wa Chama mjumbe toka nje ya nchi Ni wa Chama cha FNL Cha Burundi.Diplomasia ya kimataifa Chadema Ni zero Kama division zero aliyopata Mbowe form six

Slaa ndie alikuwa gwiji la diplomasia ya kimataifa Chadema.

Chadema inatia huruma sio siri

Akina Lisu na kuzurura kote nje hamna kitu

Kwani wawakilishi weupe wangekuja kupiga kura?
Kama unawahusudu kaolewe nao
 
Uchaguzi tu mdogo wa Mwenyekiti mnakesha usiku kucha chadema hopeless
Sisi tumewahi kufanya huo uchaguzi mdogo wa mwenyekiti?
Mbona haujiulizi, pamoja na kasi ya maendeleo anayoyafanya rais hapa nchini lakini chaguzi ndogo zote tunategenea mbeleko za Polisi, watendaji wa serikali na visa vya kila aina!!! Umewahi kujiuliza hilo la kuwaogopa wapinzani kwa kiasi hicho?
 
Wataalamu wa takwimu tusaidieni kuhakiki hizi takwimu.

Chadema uchaguzi mkuu wa 2015 mgombea wao Lowasa alipata kura milioni sita

Sasa hivi chadema wanajitapa kuwa Wana wanachama milioni sita.Idadi sawa na waliopiga kura mgombea uraisi wao

Kwenye kupiga kura tunajua kuwa wako wanaokupigia ambao hawana Chama chochote au wa Chama kingine kumpenda mgombea wako

Iweje kura alizopigiwa mgombea uraisi ziwe sawa sawa na idadi ya wanachama wa Chadema Kuna ukweli hapo au fix tu za Chadema?
 
yani mkuu kama hujawajuwa chadema wanafix za kufa mtu na ni waongo halafu wasahaulifu wanadanganya halafu wanasahau wanakuja kuropoka hovyo hawapo makini hawawezi kuongoza nchi kwa mbwembwe hizo
 
Kitendawili Popo mbili za vuka mto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakun wanaCHADEMA waliompigia kura mgombea wa CCM.
 
Silinde mbona alikuwa kamati ya chakula na alikuwa akiwajibika vilivyo jikoni. au kuna mjumbe alikosa maakuli?
Nasari alikuwa kamati ya vinywaji na mapambo, au ukumbi haukupendeza?
 
Kwani unaumia CHADEMA kuwa na wanachama milioni 6?
inamake sense kwa sababu siyo wote waliopiga kura ndiyo maana kunabaki na balance ya wanachama milioni 8 sasa hawa wasanii wenu sasa hivi yaani mwaka huu ndiyo wana wanachama mil. 6 sasa kipindi kile walizipata wapi kura mil 6 na kwa maana hiyo wanachama wote walipiga kura? huo ni utapeli wa kiwango cha lami chadema bado sana wakacheze tu michezo ya kitoto ukubwani hawajafika
 
CCM uchaguzi mkuu walipata kura 7M kama sijasahau, lakini leo hii wanajitapa kua wana wanachama million 15. Vipi ina make sense?

Sent using Jamii Forums mobile app
inamake sense kwa sababu siyo wote waliopiga kura ndiyo maana kunabaki na balance ya wanachama milioni 8 sasa hawa wasanii wenu sasa hivi yaani mwaka huu ndiyo wana wanachama mil. 6 sasa kipindi kile walizipata wapi kura mil 6 na kwa maana hiyo wanachama wote walipiga kura? huo ni utapeli wa kiwango cha lami chadema bado sana wakacheze tu michezo ya kitoto ukubwani hawajafika
 
Unatumia nini kufikiria

Mara kwa mara amesikika Ndugu Zitto Kabwe akihubiri kwamba upinzani unahitaji kuwa na kile anachokiita grand coalition kukabiliana na CCM mwaka 2020. Kauli hii ilipaswa ionyeshwe kwa vitendo kupitia matukio mbalimbali ya vyama vya upinzani ikiwepo tukio kubwa la kihistoria la uchaguzi mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania.

Kwa kuzingati kwamba ACT - Wazalendo ni chama kinachokuwa kwa kasi ilipaswa kuonyesha ushirikiano wa kiwango cha juu kuelekea dhana ya Zitto Kabwe ya kuwa na 'Grand coalition'. Je kwanini Maalif Seif na Zitto Kabwe hawakushiriki?
 
Mwambe ndie wa kuhama kwenda kwa waliomtuma mwingine hakuna zaidi ya kupokea utitiri wa wengi wanaotaka kuokoka'
 
Back
Top Bottom