Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Kife 2020? Mbona Mkuu alishatangaza kitakufa kabla ya 2020 mmeamua kusogeza Mbele tena? Tangu kilipo tabiriwa kufa kwa Mara ya kwanza sahizi kingekuwa kimeoza kabisa.Lakini tunaona kinazidi kusonga Mbele kwa kasi ya ajabuCHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app