YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uchaguzi tu mdogo wa Mwenyekiti mnakesha usiku kucha chadema hopelessnimeona Mbowe Lisu kidedea,,,, the expected of course1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi tu mdogo wa Mwenyekiti mnakesha usiku kucha chadema hopelessnimeona Mbowe Lisu kidedea,,,, the expected of course1
nimekuwekea hapo juu nilijua hujayapata..pamoja sananimeona Mbowe Lisu kidedea,,,, the expected of course1
Yehodaya, do not be stupid, afadhali huku mwambe amempinga Mbowe, CCM kuna wa kusimama na Magufuli? Kuna wa kusema hapana kwa jiwe? be serious sometimes!Uchaguzi tu mdogo wa Mwenyeki mnakesha usiku kucha chadema hopeless
Sikubaliani na wewe!Figisu.
Wanataka wajumbe wachoke wasinzie waibe kura
Wenzetu ukishindwa uchaguzi mkuu kupata Raisi viongozi wa chama hujiuzulu kupisha timu mpya yenye mawazo na mikakati mipya Sisi huku tunawapa waendelee .Hii timu chadema kinaenda kuwafia mikononinimeona Mbowe Lisu kidedea,,,, the expected of course1
najua unahasira sana maana umekosa kufatilia mambo muhimu sana ya chama chako pendwa ndiyo maana unahaaira iliyopitiliza tutalifanyiakazi ila nikuulize uchaguzi wa chama kile kilichokufa kimebaki kutumia dola tbccm huwa inakosekana? lakini kwa chama kikuu hata kwa kulipwa wamekataa..Uongo haya TV singizia zimegoma mumeshindwa live streaming online?
Chadema kwa uongo hamjambo.Live streaming online kawazuia Nani? Nanajitia ohh chadema digital ,digital wapi uongo mtupu
Na Mimi sikubaliani na weweSikubaliani na wewe!
vyama vyote 19 vipipewa mwaliko..Kwa sababu maendeleo hayana vyama,kwanini magufuli hakuhudhuria mkutano wa CHADEMA? Nimewaona viongozi wa vyama vingine kama Shibuda na Dovutwa, au Magufuli hakupewa mualiko?
CDM Jiwe ameiimarisha zaidi kwa sababu ya udikiteita wake! Watu wana chuki naye.. walimu, wafanyakazi, waliofukuzwa vyeti, na wewe pia!Wenzetu ukishindwa uchaguzi mkuu kupata Raisi viongozi wa chama hujiuzulu kupisha timu mpya yenye mawazo na mikakati mipya Sisi huku tunawapa waendelee .Hii timu chadema kinaenda kuwafia mikononi
Kwani dhambi? Ukipewa Mualiko sio lazima uhudhurie wewe, unaweza kutuma muwakilishi.vyama vyote 19 vipipewa mwaliko..
Hicho kipimo chako hakiko sahihi kifanyie kazi..Chadema Kwisha.Chama kilichokuwa kimesheni viongozi wa dini wa maana kimeishia kuwa na Akina kundecha na Mwamakula aiseee
Ni kweli ....Wamebaki wenye roho ngumu tu,wengine wamekimbia kibano Cha Kiwe!Chadema Kwisha.Chama kilichokuwa kimesheni viongozi wa dini wa maana kimeishia kuwa na Akina kundecha na Mwamakula aiseee
Unadhani chadema ni sawa na maccm? Mnajaza wachina kwenye uchaguzi na kampeni zenu. Hatuwezi kufanana wote, haya hayawahusu. Ni shubiri kwenu, vumilieni tu yatapita.Chadema maskini uchaguzi wa kuswahili tu hakuna mtu.mweupe toka Chama chochote rafiki Duniani aliyekanyaga kwenye mkutano wao.
Mgeni pekee kiongozi wa Chama mjumbe toka nje ya nchi Ni wa Chama cha FNL Cha Burundi.Diplomasia ya kimataifa Chadema Ni zero Kama division zero aliyopata Mbowe form six
Slaa ndie alikuwa gwiji la diplomasia ya kimataifa Chadema.
Chadema inatia huruma sio siri
Akina Lisu na kuzurura kote nje hamna kitu
Hahahaaa Maulid Mtulia wa Kinondoni yeye ushawahi kumuona??■ Katika mkutano mkuu wa taifa kuna hawa watu, tumeshindwa kabisa kuwaona Mh. silinde na Nassari. Kuna mwenye taarifa zao wako wapi hawa wapambanaji wetu???
☆Tafadhari CCM na Wachokonoko wengine Hii Post si yenu tafadhari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app