Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Mbowe amesikitishwa na hali iliyofikia sasa ya vyombo vya Habari kuogopa kutangaza habari za Chadema ambapo amesema waliwasiliana na vituo vyote vya Telesheni ili kutangaza mubashara mkutano mkuu Lakini wote waliogopa na kusema ni vigumu kwao kutangaza mkutano wa Chadema.
 
Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Mbowe ametoa tamko rasmi la chama kwamba uchaguzi ule ni Haramu na Hautambuliki.Kutokana na sababu hiyo Mbowe ameagiza waliokuwa wagombea wote wa Chadema kote nchini kuunda serikali vivuli kwa ajili ya kuhudumia wananchi.
 
"Hakuna kitu chenye thamani kuliko uhuru, umoja na utu wetu kiongozi yeyote ambaye ajatambua ulazima wa uhuru wetu hata akifanya kitu gani siwezi kumpongeza" amesema Mbowe
 
Akili ni nywele na kila mtu anazake. Mpaka sasa sijasikia sera za wagombea kwa kuwa agenda ni uchanguzi wa Ngazi ya juu.
So far ni mipasho na mbwembwe.
Pasikali amejisemea Hata sasa Hamjui mlifanyalo,
Mbona mnaumia sana nyie majitu? Ratiba ya chama sio yenu mnaitakia nini?
 
Mbowe amesikitishwa na hali iliyofikia sasa ya vyombo vya Habari kuogopa kutangaza habari za Chadema ambapo amesema waliwasiliana na vituo vyote vya Telesheni ili kutangaza mubashara mkutano mkuu Lakini wote waliogopa na kusema ni vigumu kwao kutangaza mkutano wa Chadema.
Ni bora tuwe na sisi hatuangalii TV zote za ndani na bila kupeleka matangazo
 
Ndio toka Slaa ameondoka ulishasikia Mbowe kaenda Marekani au ulaya kukutana na Wafadhili wa Chadema?
Wewe badala na kushughulika na Rais kuzindua visima vya maji huko Chato unapoteza muda wako na mkutano wa Chadema?
Ila jamaa yenu kashuka viwango kwa kasi ya ajabu utadhani Nazi inayodondoka mnazini? Visima? Haki ya nani wallah, karibu tutasikia choo cha kisasa stendi ya mabasi!
 
hizo ni weakness za mbowe na chadema kwaujumla , embu tupe na strenght za upande wa magufuli katika kasi uliyoisemea kwenye suala zima la upinzani wakisiasa

Nawasilisha Call911

CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
 
Kasi gani ya Magufuli
-kununua ndege watu wanakufa njaa?
-kujenga barabara watu wafe njaa?
-kutekana na kupoteza raia?
-kujenga viwanja maporini (Chato)
-elimu bure hakuna vyoo?
-elimu bure hakuna madawati?
-elimu bure hakuna walimu?
-elimu bure hakuna vyumba madarasa?
-elimu bure hakuna nyumba walimu?
-vituo vya afya hakuna dawa?
-bima ya afya gharama kubwa?
-ukosefu wa ajira?
-ugumu wa maisha mtaani?
-kuua demokrasia?
-utawala wa kibabe?
-kuua biashara?

Nadhani wa Tanzania ndio jamii ya wanafiki katika uso wa dunia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachadema huwa akili zao zimekamatwa na mbowe

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaaa!!! Imebidi nicheke tu. Hivi unajua kuwa akili, utashi, ufahamu, usomi, ujinga, ungumbaru na hata ndoa za WanaCCM Ukiwepo wewe na familia yako vimeshikiliwa na Magufuli? Kama huamini ngoja leo ajisahau aseme Mkurugenzi aliyeshusha bendera za CHADEMA namtumbua muone mtakavyoandaa makala za kumpongeza.
 
Wazee wa kupita bila kupingwa mnawashwawashwa kweli. Tulieni mjifunze demokrasia.
 
CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Please please please keep that argument inside your mind and territory .🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom