Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Kife 2020? Mbona Mkuu alishatangaza kitakufa kabla ya 2020 mmeamua kusogeza Mbele tena? Tangu kilipo tabiriwa kufa kwa Mara ya kwanza sahizi kingekuwa kimeoza kabisa.Lakini tunaona kinazidi kusonga Mbele kwa kasi ya ajabuCHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Kwan uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm huwa unachukua muda gani?Uchaguzi tu mdogo wa Mwenyekiti mnakesha usiku kucha chadema hopeless
Kuna chama kinachochafua mazingira kama ccm.ccm wanaweka Bendera mpaka sehemu isiyostahili.huu Ni ubaguzi mkubwa sana.
Kwenye uchaguzi huru na haki sawa, lakini kwenye uchafuzi kama wa serikali za mitaa majuzi utakuwa kichaa kumuwajibisha kiongozi wa chamaWenzetu ukishindwa uchaguzi mkuu kupata Raisi viongozi wa chama hujiuzulu kupisha timu mpya yenye mawazo na mikakati mipya Sisi huku tunawapa waendelee .Hii timu chadema kinaenda kuwafia mikononi
Silinde mbona alikuwa kamati ya chakula na alikuwa akiwajibika vilivyo jikoni. au kuna mjumbe alikosa maakuli?
Nasari alikuwa kamati ya vinywaji na mapambo, au ukumbi haukupendeza?
Mbadala wa mbowe pale chadema sijauonaChadema mlikua katika mtihani ambao kwangu nawambia Mmefeli,Mngefaulu kama mwenyekiti angebadilika ningeona kweli 2020 mkiamua mnaweza ila kwa uamuzi huu nawambia nyie white house mtaiona kwenye gazeti tu na kuishia kualikwa.
mmemrudisha mbowe ili muendelee kupata hela za mabeberu na mnajua fika bila mbowe hamna beberu la kuwapa hata senti kwenye hicho chama,hvyo tunarudi pale pale mmeangalia PESA badala ya uongozi.
POLENI na HONGERENI
Hata kama ka fight chama sio chake
Haki haichagui nani wakumfata bali humfata yeyote ambaye anastahiliHata kama ka fight chama sio chake
Ndo maana hataki kuachia madaraka kumbe ameshapiga faida atakayoipata huyu jamaa, CDM chama cha wajanja na matapeli wanaojificha kwenye nguzo ya upinzanikitakuwa na uwezo wa kukusanya shilingi bilioni 15 kwa mwaka
Wakiambiwa huyu jamaa ni dikteta wanaanza kutokwa povu, MBOWE DIKTETA NAMBA MOJAHakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!
Kumbe chama ndiyo kina mtengenezea mazingira mabaya ya yeye kurudi?, mbona anashinikiza serikali imuandalie mazingira?.Lissu kasema tayari amepona na amekuomba chama kiandae mazingira salama ya yeye kurejea nyumbani.
Huu ni unafiki wa kiwango cha juu, pamoja na kupotosha umma kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki kumbe bla blaFreeman Mbowe 886 (93.5)✔
Cecil Mwambe- 59 (6.2%)
Zilizoharibika: 3
Unafahamu vyama hivyo vina umri gani kwenye ulingo wa siasa!!!? Miaka 500, 300, 200 n.k. Fikiri kabla hujapanua shimo lako la kutemea makohozi!!!Wenzetu ukishindwa uchaguzi mkuu kupata Raisi viongozi wa chama hujiuzulu kupisha timu mpya yenye mawazo na mikakati mipya Sisi huku tunawapa waendelee .Hii timu chadema kinaenda kuwafia mikononi
Sasa wewe msela usie nyuma wala mbele; ya Mbowe na Chadema yanakuwashia nini!? Si uanzishe cha kwako ili nasi tudandie!!!Hata kama ka fight chama sio chake
Ni Rais sana kusema Mbowe Hana mbinu mpya lakini Nina uhakika hata we huna mbinu mpya.CHADEMA Inahitaji mabadiliko makubwa ya kiuongozi, kifikra, kisera na kimkakati, vinginevyo 2020 kitakufa kabisa.
Mbowe hawezi Tena, hana mbinu mpya wala mbinu mbadala za kukabiliana na kasi ya Magufuli
Huku sisi tulishavuka waendelee kusubiri kuona kaburi la chadema kama wasira anavyo subiri kuonas kama alivyo sema miaka hiyo kuwa chadema itakufa matokeo yake kafa yeye..
Naona CCM wako kama Nzi walioingia kwenye maji