Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Desemba 18, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar

Polisi hupokea amri na kuzitekeleza. Naikumbuka hii tafsiri tulipewa na afisa mmoja wa polosi tukiwa ktk mafunzo fulani zamani.
P = political
O = order
L = law/s and
I = inestigation for/to
C = Criminal
E= emergencies
Akasema ni amri za kisiasa na sheria za upelelezi kwa makosa ya kijinai ya dharura
Kwa hiyo polisi hutumikia siasa. ni chombo cha mabavu cha dola ku eforce law and order from colonial mentality. However, baada ya uhuru tafsiri sahihi ni chombo cha kulinda raia na mali zao.
Sasa kwa nini wameondoa labda wameona kuna kosa la jina laweza kutokea! But ni amri.
Polis nao ni Tawi la CCM ,wanaogopa mpaka Bendera。

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ya mauzauza Bendera zinatisha wenye mamulaka Maajabu ya chattels haya Sisi Kama Chadema tunasema Mbowe mi 5 tena Mwamba Tuvushe
 
Wasije wakavamia mkutano wakasema ati hauna kibali na pia kuna harufu ya uvunjifu wa amani.
 
Umejijibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzamifu,

Waliondoa tafsiri lakini Matendo yao yamebakia kuwa ni yale yale ,tofauti ni kuwa kwa wakati huu tuna Wakoloni weusi.
 
Labda Mwambe ajiyoe mwenyewe, Mbowe kwasasa amekomaa kisiasa vinginevyo kubenea na mwenzake wangeshafukuzwa kitambo
Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachotaka na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!

Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe! Baada ya Uchaguzi wa ndani aanze kutafuta chama kingine mapema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila lakheri CDM, uhai wa CDM ndio control kwa watawala naona wapo busy kutujuza wanafanya nini, hawalali wanapambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mapungufu yake ila Mzee Kikwete ni Mkweli.. na ukweli unakuweka HURU. CCM bila Jeshi la Police ni walaini kama karatasi iliyonyeshewa mvua.

he knew what he's upto
 
Hivi CCM wanapochagua mwenyekiti wao Viongozi wa dini yanakuwapo? Naomba wa kunijuza
 
Huku sisi tulishavuka waendelee kusubiri kuona kaburi la chadema kama wasira anavyo subiri kuonas kama alivyo sema miaka hiyo kuwa chadema itakufa matokeo yake kafa yeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…