Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais



Kwa kweli, sasa naanza kupata picha kwa nini Membe alikuwa anaplay loser, kwa kuwanyenyekea kanda ya kusini,he was securing votes.he was guaranteed nomination. Sasa kumbuka nyuma ya Membe kuna Pinda na Mwandosya. kama kipita bila Makamba,kura za makamba most likely zitakwenda kwa Membe kama Makamba ataahidiwa FM,kura za kwao Kusini hatapata tabu sana kuzipata.

kabakiza Kaskazini,ambako nina hakika atapata kiduchu sana, na magharibi,ambako nina imani, all he needs to do is offer Wasira a position,he-he, mzee bado ataendelea kuwepo, then atapata some good numbers. Ingawa kikwazo bado kitakuwa magufuli.

Magufuli is shoe in for top 3. yani ukiitazama top 5 ukimtoa magufuli top 3, inabidi uwe na moyo wa chuma.
 
Tunamshukuru Kikwete kwa kutii mou kuwa Rais ajaye lazima awe Mkatoliki Bernad Membe ikumbukwe kuwa hapo Membe na Magufuli ni kambi moja pia Pinda, Mwakyembe, Sitta na Mwandosya wapo nyuma yake

yaani watu kama wewe ni mizigo kwa taifa! dini na urais Tanzania vinahusiana nini? akiwa muanglikana au muislam hafai kuwa rais? acha ubaguzi kama unataka rais wa dhehebu lako basi mumchague aongoze dhehebu lenu na si nchi...ikiwa unavyotaka wewe basi rais achaguliwe padri au shekhe! shame on you...
 
Daaaaah kwa hiyo jamaa kaamua kumuweka mtu wake... Zidumu fikra za mwenyekitiiiii ha ha ha ha haaaaa kumekucha ngoja nikaongeze pop corn..muvie ndio kwanza limeanza
 
WAMETUWEKEA BABA MDOGO!!

IS THIS A FAMILY COUNTRY?

WAJUMBE WA NEC SUSIENI UJINGA HUU,THIS IS QUIET NOT FAIR!!

CHAGUO LA WENGI NI LAZIMA AREJESHWE!!

WE ARE NOT A SULTANATE COUNTRY!!

MKAPA,MWINYI SAIDIENI KUTUONDOLEA UDIKTETA HUU!!

THIS IS TOO MUCH!!/

**DEMOKRASIA ITUMIKE ZAIDI WENGI WAPE**

**TAIFA INAELEKEA WAPI? ENDAPO DEMOKRASIA INAPUUZWA**/ii
 
Sasa ndiyo mapinduzi ya kidemokrasia ndani ya chama. Wazoefu,vijana na wanawake. Naona sasa ni zamu ya wanawake mana upepo wao ulianza kuonekana Siku nyingi

wamuweke huyo mwanamke watu tumalize mambo...
 
Asante Mungu kwa hatua hii na aya ndiyo maamuzi sahihi tunayotaka na siyo magumu coz ata vichaa ufanya maamuzi magumu kama kujisaidia mbele ya kadamnasi
 
Yaani hata bila ya aibu tena mchana kweupe na kwa mbeleko kubwa kabisa,hapa ndio atampandisha zaidi Mori Mmasai.

haa haa huyo mmasai usishangae akawekewa ulinzi maalumu asifurukute. mtanzania anayejitambua hawezi kumpa membe kura kamwe. kura ni ukawa...
 
Jk kaamua kuipasuapasua ccm na kuisambaratisha kabisa.
 

Kaanzisheni chama chenu, kwenye CCM kundi la Lowassa ni kundi lla vibaka waliovamia chama kwa mujibu wa Makongoro
 

Kuwaa mpole hiyo ni demokrasia kukubali kushindwa...unaiwaita kina mkapa ndo wameshafanya yao ......kakatwaa. pole sana mkuu
 
Bora amekatwa. Nahisi tutakuwa na rais mwanamke. Huyo Membe hamna kitu kabisa
 
Mkuu,
Mimi siku ile anatangaza nia ya kuwa mgombea niliangalia/kusoma body language nikagundua kuna mtu/kikundi kiko nyuma ya Makongoro Nyerere.

Makongoro alikuwa ni proxy solder huku akitumia majukwaa ya kuomba udhamini kama uwanja wa kumwaga sumu ambayo viongozi wa juu wa CCM walishindwa kuimwaga.

Niliuliza maswali kwenye Thread hii,
Hata mdahalo maalum wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere uliofanyika juzi ulikuwa na malengo yale yale aliyokuwa akiyatafuta Makongoro.

Butiku, Warioba na Polepole walitumia muda mwingi kwenye mdahalo kumshambulia Lowassa na watu wake.

Hii ni video ya yaliyosemwa katika Mdahalo huo maalum

[video]https://youtu.be/d8SdnhJNOlM[/video]

Tumekuwa tunaambiwa Lowassa ana 'maamuzi magumu', tunayasubiri kwa sasa hayo maamuzi magumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…