Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.
 
Hama chama....Ama kaanzisheni chama chenu
 
ccm wamebugi hayo majina huyo migiro u.n ilimshinda, makamba bado mtoto, magufuli ni mtekelezaji na sio kiongozi, membe hamna kitu hapo na huyo asha sijawai kumsikia, ukawa jiandaeni kuchukua nchi. PEOPLEES
 
Jamani ndo nimekurupuka usingizini, eti Lowasa kakatwa? Kwikwikwikwi.... ndo maana naona wastaarabu tu humu ndani, dah mbwembwe zote zile! Walahi ningehama nchi, kwikwikwi....
 
Jamani ndo nimekurupuka usingizini, eti Lowasa kakatwa? Kwikwikwikwi.... ndo maana naona wastaarabu tu humu ndani, dah mbwembwe zote zile! Walahi ningehama nchi, kwikwikwi....

Ndio ville melisa😀
 
Nilihisi kitu kama hicho hasa pale ile Meli Vita ilipopewa jina la kwa Nyerere na pia Familia ya Nyerere kuwa front kiasi kile,nilijiuliza why this time kikwete anamaliza muda wake ndio aikumbuke familia ya Mwl. Kumbe walishaingia makubaliano ya Makongoro kuja kummaliza Mamvi.
 
ccm wamebugi hayo majina huyo migiro u.n ilimshinda, makamba bado mtoto, magufuli ni mtekelezaji na sio kiongozi, membe hamna kitu hapo na huyo asha sijawai kumsikia, ukawa jiandaeni kuchukua nchi. PEOPLEES

ukawa wakiacha ubinafsi wakajipanga vizuri mwaka huu ni wao....
 
EL alidai kwamba yeye na JK hawakukutana barabarani kwa mategemeo kwamba asingeweza kuruhusu akatwe.alisahau kwamba kidesturi sisi watu wa pwani hatuaminiki kimaamuzi.leo nacheka na wewe,kesho nacheka na adui yako.
 
safi sana ccm kwa kujichimbia kaburi lenu yani mnamptisha mtu kama makamba hafu mnawaacha akina mwandosya, sumaye, augustino n.k tegemeeni msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…