Huku ni kukifukia chama kaburi asubuh na mapema. Ngoja mimi niweke hakiba ya maneno lakini udini unakiangamiza chama cha Mapinduzi. Ingesound kama wangemtoa na MEMBE lakini kumuweka Membe ni kutaka tuamini sasa kwamba hii vita ya makundi ya kidini imefikia pabaya.
Hili n kosa kubwa sanaaa wote walitakiwa kukatwa
Riziwani ndie yupo nyuma ya yote haya..dogo unataka kutuharibia nchi mbona?
kwani kikwete sio Fisadiacheni uzushi bana,eti Member akatwe tu kwakuwa Lowasa kakatwa! MTU fisadi na chama kilishamuita fisadi akakubali kujiuzulu,akaitwa gamba kwann asikatwe? mwacheni Member apeperushe bendera ya chama.eti lowasa arudishwe hyo will be a grave mistake to ccm
Familia ya NYERERE IMEDHALILISHWA SANA......MIKOA YA MARA,MWANZA,SIMIYU,GEITA,shinyanga hakikisheni jina la mwalimu llinalindwa na kuheshimiwa.....Hamkuitendea haki kwasababu hata uchaguzi weñu siyo wa haki lakini mmekosa kabisa kumuenzi mzee Nyerere (Muasisi) wa Taifa hili, ila mliweza kumuenzi muasisi mwenzie (Mzee Karume). Sijuhi ni kwanini lakini kuhiusisha familia hii alafu mkaamua kuweka kwa masrahi ya mtu taswira yake si nzuri hata kidogo, mmeifedhehesha sana na hata sie Tanganyika mtutia simanzi sana kumuacha Mako. Yawezekana alikuwa na mapungufu lakini nikiangalia hata hawa mliowaweka ukimwondoa Magufuri sioni kama wanazo sifa kweli, lakini kisiasa na ki historia mlitakiwa kujua hawa watu kama vigezo vikilingana basi familia hii ilitakiwa kupewa kipa unbele. Tunaweza tukaziacha na tukahoji kuhusu familia zetu zingine za wanasiasa hapa Tz lakini kuiacha hii nyuma kiasi hiki si sawa, kipelekeni mnavyotaka chama lakini mlitakiwa kuelewa sasa hivi mnaenjoy na kurukaruka si kwasababu mlikuwa na uwezo huo bali ni kwasababu Mzee Nyerere aliwaandalia maisha na hats wengine aliwasaidia kwa kuwalea na kuwashika mkono lakini leo nyinyi hakumbuki wala hamtaki kusikia.
Mungu ibariki Tanzania.
Hakuna mjumbe wa Ccm zaidi ya lowasa mwenyewe ambaye anaweza kusema hana imani na Jk hakuna coz whatver atakaye sema hilo ana majanga makubwa hizo ni mbwembwe tuu hakuna mjumbe anayeweza kusema hana imani na Jk
Ebu tutoleeni upuuzi na tamaaa zenu za mafaraka hapa.
use your brain man,hata Kama unamshabikia MTU lakini sio lazima huyo huyo apate.
hivi lowasa ni nani mpaka asababishe machafuko nchini jina lake likikatwa,kwa nini anangangania kwenda ikulu?
Kama chama chake kimemkataa basi akubali..yaani ccm kukatana majina ndio kuchafue nchi???
yaani hii post imejaa kitoto Sana,not convincing at all
Hilo zee lipumzike tu anajiaibisha tu na njaa njaa zake
colonel wa jeshi atatishwa vipi na mcheza maagizo jamani