Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

asante Sana kwa kutujuza mkuu, kikwete ni mtu wa visasi, lowassa Mwaga Mboga tu, wao si wamemwaga ugali
 
Acha li chama life

Nukuu ya Makongoro Nyerere

Leo Dodoma
" Kama chama mnaona ni cha wazalendo, nashauri kaeni ila kama sio cha wazalendo uamuzi ni juu yenu"
 
Huku ni kukifukia chama kaburi asubuh na mapema. Ngoja mimi niweke hakiba ya maneno lakini udini unakiangamiza chama cha Mapinduzi. Ingesound kama wangemtoa na MEMBE lakini kumuweka Membe ni kutaka tuamini sasa kwamba hii vita ya makundi ya kidini imefikia pabaya.

Udini kivipi Mkuu embu fafanua?halafu inaelekea umekata tamaa na chama chako CCM,kwanini?
 
haya maono yako ni pofu, mapenzi na tamaa zako ndo unaita uchambuzi? Kikwete si wa kuyumbishwa kiasi hicho. Me nadhani huu ulikuwa wakati wa kuangalia Ukawa unafanya nini ili kuleta bidhaa bora sokoni na sio kuwa busy kufuatilia ccm ccm.
 
acheni uzushi bana,eti Member akatwe tu kwakuwa Lowasa kakatwa! MTU fisadi na chama kilishamuita fisadi akakubali kujiuzulu,akaitwa gamba kwann asikatwe? mwacheni Member apeperushe bendera ya chama.eti lowasa arudishwe hyo will be a grave mistake to ccm
kwani kikwete sio Fisadi
 
Hamkuitendea haki kwasababu hata uchaguzi weñu siyo wa haki lakini mmekosa kabisa kumuenzi mzee Nyerere (Muasisi) wa Taifa hili, ila mliweza kumuenzi muasisi mwenzie (Mzee Karume). Sijuhi ni kwanini lakini kuhiusisha familia hii alafu mkaamua kuweka kwa masrahi ya mtu taswira yake si nzuri hata kidogo, mmeifedhehesha sana na hata sie Tanganyika mtutia simanzi sana kumuacha Mako. Yawezekana alikuwa na mapungufu lakini nikiangalia hata hawa mliowaweka ukimwondoa Magufuri sioni kama wanazo sifa kweli, lakini kisiasa na ki historia mlitakiwa kujua hawa watu kama vigezo vikilingana basi familia hii ilitakiwa kupewa kipa unbele. Tunaweza tukaziacha na tukahoji kuhusu familia zetu zingine za wanasiasa hapa Tz lakini kuiacha hii nyuma kiasi hiki si sawa, kipelekeni mnavyotaka chama lakini mlitakiwa kuelewa sasa hivi mnaenjoy na kurukaruka si kwasababu mlikuwa na uwezo huo bali ni kwasababu Mzee Nyerere aliwaandalia maisha na hats wengine aliwasaidia kwa kuwalea na kuwashika mkono lakini leo nyinyi hakumbuki wala hamtaki kusikia.
Mungu ibariki Tanzania.
Familia ya NYERERE IMEDHALILISHWA SANA......MIKOA YA MARA,MWANZA,SIMIYU,GEITA,shinyanga hakikisheni jina la mwalimu llinalindwa na kuheshimiwa.....
 
Naipa pole sana familia nzima ya baba wetu wa Taifa na mama Maria Nyerere, tumeshindwa kuienzi legacy ya Mwl. Nyerere na CCM mmetufedhesha bara na wafuasi wa miiko aliyotuachia Baba wa Taifa
 
hueleweki ndugu naona ushapanic, hatuchagui machifu hapa, Familia Familia ndo nini???
 
chama kimevurugwa...ovias...wagombea uraisi walotajwa pia wamevurugwa....long live UKAWA
 
Ebu tutoleeni upuuzi na tamaaa zenu za mafaraka hapa.
use your brain man,hata Kama unamshabikia MTU lakini sio lazima huyo huyo apate.
hivi lowasa ni nani mpaka asababishe machafuko nchini jina lake likikatwa,kwa nini anangangania kwenda ikulu?
Kama chama chake kimemkataa basi akubali..yaani ccm kukatana majina ndio kuchafue nchi???
yaani hii post imejaa kitoto Sana,not convincing at all

Nadhani Wewe Utakuwa Ni Mgeni Kwangu Na Kama Siyo Basi Utakuwa Ni Bonge La POPOMA Tena LILILOTUKUKA. Hakuna Ambaye Hajui Humu JF Kuwa Mimi Si Mtu Wa Lowassa au Membe Na Tokea Mwanzo Nilikuambia Na Hadi Nikaweka Nadhiri Humu JF Kuwa Lowassa Hatopita au Kupitishwa Na Nikaenda Mbele Zaidi Kusema Kuwa Mgombea Wa CCM Lazima Atatoka Kati Ya Dr. Magufuli au Professor Muhongo au Professor Mwandosya Na Maprofesa Wawili Wameshakatwa Na Kabaki Mtu Wangu Mmoja Tu Dr. Magufuli Na Ndiyo Huyo Huyo Atapitishwa Na CCM Tena Kwa Kura Nyingi Tu. Ukitaka Kuamini Haya Jaribu kupitia Posts Zangu Ujiridhishe. Na Kumtetea Lowassa Kama Kwanini Amekatwa Yawezekana Kwakuwa UELEWA Wako Ni Ndogo Pengine Kama Punje Za Mchanga Hukunielewa ILA Nilichokuwa Nakisisitiza Katika Hoja Yangu Ni Kitu Kiitwacho Political Equilibrium Ambapo Walitakiwa Ama Wote Wabakishwe ILI Waje Kuchinjiwa Katika 5 Bora au Basi Wote Wasiwepo Ili Kuwamaliza Kinguvu Lakini Kumwacha Mmoja Akipeta Ni Kuleta Hatari Na Mpasuko Mkubwa Ndani Ya Chama. Ni Imani Yangu Kwa Maelezo Haya Ya Kiufafanuzi Basi UPOPOMA Wako Sasa Utakuwa Ni Historia Na Tutaenda Sawa.
 
Hilo zee lipumzike tu anajiaibisha tu na njaa njaa zake

Ninawalaumu watoto wake kuendelea kumruhusu kusimama na kushiriki siasa katika umri ule. Kaichafua historia yake nzuri aliyoijenga kwa umri wake wote kwa kushabikia wapuuzi katika nchi
 
Huyo Mburushi ni mtumishi wa Caspian ya Rostam Aziz. .. wanaonekana pichani wamo Fadhili Ngajiro; Ole Porokwa; Omar Ng'wanang'wala na hapo ni hotelini St Gasper kambi ya Lowassa ambapo Leo waliwaita wajumbe kuwapa pesa wasusie NEC ama kufanya fujo na plan B awe Magufuli. Same place Kingunge alifanya press
Porokwa Katibu CCM Manyara na msaidizi wa Lowassa.
HAYO NDIYO MAELEZO YA ZILE PICHA ZA MUHINDI ALIYEKAMATWA NA MIHELA. Team Lowassa wanajipanga kumsupport Magufuli. Hili movie ni kiboko.
 

Attachments

  • 1436608413089.jpg
    1436608413089.jpg
    65.7 KB · Views: 116
  • 1436608444410.jpg
    1436608444410.jpg
    69.4 KB · Views: 115
Ule msemo aliyoutumia Mlm.Nyerere wakati wa kipindi cha Mrema ya kwamba ,,I cant let my country goes to the dogs" sasa umetimia, kitendo cha Kikwete kumpitisha Membe ambaye kuna tetesi ya kwamba ni ndugu yake wa damu hakijawahi kutokea ktk Historia ya Chama hicho, yaani Mwenyekiti wa Chama kumteua ndugu yake kuwa Mgombea Uraisi na hili la Januari Makamba ambaye nafasi kubwa aliyowahi kuishika ni unaibu Waziri tu tena wa Muhula mmoja na kuwaacha watu wengi ambao wana uzoefu mkubwa sana kama kina Mwandosya, n.w inatia mashaka ya kwamba nchi yetu sasa ,,has gone to the dogs"!

Kwa nini nasema hivyo ni kwamba Kikwete amefungua ukurasa mpya ambao haukuwepo Membe akiwa Riais naye atafanya kama alivyofanya ndugu yake Kikwete na kuleta ndugu yake pia labda Ridhwani...
 
Back
Top Bottom