Kifimbo Cheza
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 253
- 116
WAMCHUKUE WAKANYWE NAYE CHAIWanamtaka Lowasa wahamie Monduli,kule atakuwa rais mbunge.
Ndugu ntake radhi lini nimeunga mkono mambo wanayopitisha bungeni??? au umeshawai niona kwenye thread yoyote nikiunga mkono hilo jambo????Wakipitisha madudu bungeni Poa, Wakipitisha madudu huku kwenu povu hadi puani
Fact! Naona wameonja uchungu ambao huwa tunaupata pale ambapo wanaptisha madudu bungen tena kwa mbwembwe
Yaani nimefurahi sana kwenye hiyo orodha. Hapo Magufuli akipita roho kwatuuuuuu!
Kama ni Magufuli,mimi na familia yangu tutakwenda kupiga kura vinginevyo siku hiyo ni kula kulala tu
Vitu vinavyoongoza kwa kukatwa nchini;
Mauno
Keki
Umeme
Lowassa
Ndugu ntake radhi lini nimeunga mkono mambo wanayopitisha bungeni??? au umeshawai niona kwenye thread yoyote nikiunga mkono hilo jambo????
Vitu vinavyoongoza kwa kukatwa nchini;
Mauno
Keki
Umeme
Lowassa
Sawa Mkuu. Umeolewa?utanipata hapa kwenye uzi mkuu
tetesi : lowassa kaanguka gafla
Ndugu ntake radhi lini nimeunga mkono mambo wanayopitisha bungeni??? au umeshawai niona kwenye thread yoyote nikiunga mkono hilo jambo????
Niliahidi Kuichoma Moto Kadi Lao La Laana, Chama Cha Majambz,
Sio live ilikuwa ya siku tatu nyuma. Recorded