Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sijui jema lipi lifanywe ili kuona CCM ipo sahihi.
Comment nyingi ziliandikwa kuwa CCM ikimsimamisha Lowasa ndo itakuwa mwisho wake, amekatwa watu wanadai UKAWA itashika dola. Au isingemsimamisha mgombea?
 
Shein yeye hana mpinzani urais serikali ya mapinduzi zanzbar. Ameshatangazwa kitambo. Spati picha ccm visiwan huku ukawa bara
 
Wakuu nijuzenn, itawezekana kweli haya majina kutenguliwa na kupitishwa upya??? Naomba tu kujua
 
Mwaka huu naiona harufu ya vurugu kali ndan ya ardhi ya tz,
CCM wamechagua watu dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza nchi hapa natabir ushindi kwa wapinzan lakn CCM hawatakubali kushindwa watatumia plan B ili kushinda sasa hapo ndipo hata wapinzan hawatakubali hapo tayar vumbi ndan ya nchi yangu.
 
kama ndivyo bora membe aondoke ila chonde chonde wasituletee m/mke
 

Asha-Roze Mtengeti Migiro
Bernard Bakari Membe
Amina Salim
January Makamba


Hao wote ni waislam

John Pombe Magufuli

Huyu ni mkristo.
 
naiona serikali ya mseto hiyoo..
Ccm + ukawa matokeo uchaguzi mkuu -tanzania
.

unamawazo kama yangu kama si mseto ukawa lazma wachukue dola,sina utani cdm inakata kuti walilokalia,binafs kura yangu ukawa tu!
 
Muulize huyo mjumbe kala maharage ya wapi? nani kamroga? au kavembewa wali..
 
chok
wao wavunjike tu vipande vipande tumewako wanafiki wakubwa
 

Be positive.
 
Kajiabisha mwenyewe lowasa,alikua akitamba eti hakuna wa kinikata ndani ya ccm,akitishia watu sasa tunataka tuone atafanya nini fisadi huyu.
 
Kwani wadhamini ndio wamemchinja? Ni rafiki yake

Kilichompa kiburi kuwa anapendwa ni ule umati uliokuwa unajitokeza kumdhamini akajua anapendwa kumbe changa la macho .... Rafiki yake yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…