Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hawewezi kufanya kosa hilo. Wanataka kubaki madarakani. Hapa ni Dr. Magufuli tena round ya kwanza hakuna kupiga kura round ya pili.
Mkuu naona sasa Chato wajiandae kuna kipindi nilipita pale kulikuwa na taa za kuongozea magari.

Teh teh teh
 

CCM is only targeting the Sukuma land. That's where the voters are!! Their intention is to continue hanging on the power as long as it takes. They're playing with people's mind. Poor Tanzanians I hope their strategy will backfire this time around!!
 
huyu nae pumba tupu ukiwa kiongozi huwezi kila kitu usikilize mengine amua huyu wa membe imekula kwenu
 
hivi kati ya mkapa na kikwete nani alimtengeneza magufuli?
 
Magufuli amefaulu kwa sababu ya kura za Lowasa. Wengi walimpa kura baadaye Lowasa kukatwa. Sasa kazi kwa UKAWA

Uongo!! Kura za Lowasa NEC zilikuwa si zaidi ya mia. Tumewaona waliokuwa wanaandamana eti wana imani na Lowasa. Hata mia walikuwa hawafiki!!
 
humjui vizuri unamsikia hewani,alimvimbia Pinda kuhusu bomoa bomoa ,Pinda akasemea kwa mkulu ,mkulu akaingilia kati jamaa akavimba ni lazima wabomoe lazima sheria ifuatwe

Ndo kinachomfanya awe president material?
 
Magufuli amefaulu kwa sababu ya kura za Lowasa. Wengi walimpa kura baadaye Lowasa kukatwa. Sasa kazi kwa UKAWA

Mkuu, mimi nipo hapa Dodoma.

Jipe matumaini hewa! Huku watu wa Lowasa wakiwa wanachana na kuchoma moto kadi zao za umwanachama wa CCM.

 
kidhungu iki jamani haya.....bhana................................
 
nimeona nape akitoa kauli kama hiyo..kiha akapita kinana na kumstua aachane na kitu hiyo hasa pale aliposema walesema hatutoki dodoma mara sijui tutazama..kinana amefanya jamb jema kumstua

Alitaka kuchochea
 

Mkuu, mimi nipo hapa Dodoma.
Jipe matumaini hewa! Huku watu wa Lowasa wakiwa wanachana na kuchoma moto kadi zao za umwanachama wa CCM.

Hao wanaofanya hivyo ni wahuni tu. hawana lolote. Ni hasira ya mkizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…