Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona sasa Chato wajiandae kuna kipindi nilipita pale kulikuwa na taa za kuongozea magari.Hawewezi kufanya kosa hilo. Wanataka kubaki madarakani. Hapa ni Dr. Magufuli tena round ya kwanza hakuna kupiga kura round ya pili.
If Amina Salum gets the Nod, could Membe make the coup and be the running mate?if they entince Mafuguli with PM position?
I don't see Magufuli accepting VP position, its too sterile for him. Membe anafaa kabisa kwani he is too boring.
He is also unfit for PM, since he is way too unpopular in the party.
Ha ha ha ha ha ha ha UKAWAKA sasa nahakika mmeshazimika. Gali la Magufuli lileeeeeeeeeeeeeee plate NO. kijani mmeliona linakwenda magogoni.
Hakika Mkuu. CCM wapo wamoja sasa. Wale vijana wahuni wakiona hivi wanachanganyikiwaUna uhakika mnatoka wakiwa wamoja?
Magufuli amefaulu kwa sababu ya kura za Lowasa. Wengi walimpa kura baadaye Lowasa kukatwa. Sasa kazi kwa UKAWA
tehehehehe TOT wametupa jiwe GIZANI
humjui vizuri unamsikia hewani,alimvimbia Pinda kuhusu bomoa bomoa ,Pinda akasemea kwa mkulu ,mkulu akaingilia kati jamaa akavimba ni lazima wabomoe lazima sheria ifuatwe
Magufuli amefaulu kwa sababu ya kura za Lowasa. Wengi walimpa kura baadaye Lowasa kukatwa. Sasa kazi kwa UKAWA
Magufuli kajitengeneza mwenyewe kutokana na rekodi yake nzuri ya utendaji. Hakuna aliyekuwa anafikiria kuwa leo hii atapeperusha bendera ya CCMhivi kati ya mkapa na kikwete nani alimtengeneza magufuli?
nimeona nape akitoa kauli kama hiyo..kiha akapita kinana na kumstua aachane na kitu hiyo hasa pale aliposema walesema hatutoki dodoma mara sijui tutazama..kinana amefanya jamb jema kumstua
Hao wanaofanya hivyo ni wahuni tu. hawana lolote. Ni hasira ya mkizi
Mkuu, mimi nipo hapa Dodoma.
Jipe matumaini hewa! Huku watu wa Lowasa wakiwa wanachana na kuchoma moto kadi zao za umwanachama wa CCM.
Ahahahahah..ccm bhana kiboko.Hivi yule mwanasayansi wa dunia watamrudisha baraza la mawaziri kweli?